Recent content by Elishy

  1. Elishy

    Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

    Tabia ndio jambo la msingi ukitaka mke
  2. Elishy

    Alijua nina mwanamke na mtoto akakubali, sasa ananin'gan'gania

    Kwa hyo umeamua kuiga kwa kuwa wew si wa kwanza una kosa kubwa sana la kufanya usaliti mlee tu huyo binti mpka azae apate maisha maana ww ndo chanzo ila yule wa kwanza ni lazma uishi nae
  3. Elishy

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Bashite ni jina ambalo limekuwa maarufu sana mjini
  4. Elishy

    Mama kumuuzia mtoto vitu vya ndani kisa ana shida ni sawa?

    Juzi tu nilikuwa kwa rafiki yangu mmoja amenizidi umri anachezea miaka 35 hivi anaishi kwao mpaka leo. Sasa kitu cha ajabu nilichokikuta pale,jamaa alikuwa anashida na meza akaniambia anahitaji ila atamwambia mama yake amuuzie ile anayotumia ndani nikamshangaa akanambia ni kawaida kamuuzia vitu...
  5. Elishy

    Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

    Uko vizur wabadil mienendo
  6. Elishy

    Makonda vs ITV

    Issue iko hivi makonda angeweka mambo yake hadharan tuhuma zinazomkabili ingekuwa wazi kuliko saiv imekuwa kam kiki hivi na mzajamzaha watu wapo njia panda san ndyo maan vyombo vingne vya habar wanapuuzia
  7. Elishy

    Nimempenda baba yake zaidi

    I don believe if this is ua story
  8. Elishy

    Maisha ya peke yako

    Mhhh! Hali kam hii imeshawah nikuta san nikaona bora kuwa single until this time bt pamoja na hiv na miss pia niwe na mtu tatzo ni kumpata mtu muelewa na mtakayeendana na unaweza ukaish vzur zaid hat ya kuwa single ila kuwa single ni better km hujaona mtu sahihi wa kuwa nae ila once ukampat mtu...
  9. Elishy

    Nimempenda baba yake zaidi

    Trust me achana na mzee kaa na kijana hyo ni tamaa ya mwili au fanya maamuz magumu achana nao wote mind ua bussines ila tofaut na hapo mbeleni inawza ikawa majonz kwako
  10. Elishy

    Nimempenda baba yake zaidi

    Hii issue ni kubwa ila watu wataichukulia simple cha kwanz think more wew na hyo jamaa ulimpnda au ulimtaman tu na lengo lako kwa hyo kijana lilikuwa ni nini pia unapotaka kuwa na hyo mdingi je unauhakika atakubali kuwa na ww na lengo lako kw hyo mdingi ni nn zaid ya hapo unaweza ukaharbu kw...
  11. Elishy

    Swali kwa wanaume: Mnapenda mama wa nyumbani au mwanamke anayefanya kazi?

    Napenda mwanamke anayewajibika hat kama atakuwa na shughuli ndogondogo ila c yule akae tu nyumban
  12. Elishy

    Huu ujasiriamali wa kujaziana mabegi/vichupi insta!

    Hapo uliposema upige picha kwa mara moja kuliko kutuma mojamoja nakuunga mkono kaka
Back
Top Bottom