Nipo njia panda katika issue ya mapenzi, mawazo yenu

Nipo njia panda katika issue ya mapenzi, mawazo yenu

Usiumize kichwa kwa suala ilo uwezo jua mungu kakuepusha na nini just be cool watakuja wenyew amin ivyo

Labda wanakufanyia upembuzi yakinifu utajuaje
 
Na umri wa miaka 25, historia yangu ya mahusiano in short nilipenda kweli kuwa katika mahusiano ya kudumu but kitu kimoja nilikuwa nikishatembea na mwanamke sijisikii tena kuendelea nae ila ikafika kipindi nikampenda sana dada mmoja ila hakuwa na tabia nzuri ila nilijikuta nimefall na ile hali ya kumpenda na kumchoka mwanamke ikaisha kipindi hicho nipo advance.

Wakati nipo shule kumbe yule dada kutokana na tabia zake alipewa mimba na jamaa mmoja anapesa na nilikuwa nakaa nae jirani mwanzo sikuwa najua mimba ni ya nani kwa sababu alianza kuniambia ni yangu ila nilipokuja kutambua japo nilimpenda sana ila ghafla nikawa sipo tayari kuwa nae ikawa hivi.

Japo yalishatokea nikiwa napata hamu namtafuta tuna do na yeye alikuwa tayari hata nimuoe ila mimi sikuwa tayari baada ya muda nikaona ni upuuzi nikamwambia tuishie pale sasa mtihani ni huu toka nimeachana nae nimejarbu san kutafuta mwanamke ambaye naweza kuwa nae serious katika mahusiano ila imekuwa kama mkosi.

Nikikutana na mwanamke hachomoi kwa sound zangu but now mpaka najifeel kiwango cha kutongoza kimeisha au ni mkosi maana naweza kutana na mwanamke mzuri tukajuana ila nikishamtongoza inakuwa ngumu kukubali wengi unakuta wanasema wapo katika mahusiano wengine wanasema kabisa yupo single but hayupo tayari.

Nimevumilia kwa muda sana pengine yule anayeniambia yupo single atabadili mawazo but imekuwa ngumu sana mpaka sasa nipo njia panda nafikiria hali hii itaisha lini labda nitampata na mimi nitakayempenda na yeye atanipenda au ndo mazima haitatokea mpaka sometime nafeel niwe player but sure sipendi hiyo tabia na kwa umri wangu naamini natakiwa nipate mwanamke wa malengo.

Msaada wenu wana JF, ni mgeni kidogo nimeiona michango yenu nikaona nami niwashirikishe hili.

AHSANTENI
Kaoge maji ya baharini ili uondoe mkosi, gundu ilo.
 
hahahahahahahahaaa.. nacheka tu ila najua its so painful!! mkuu usijione uko mwenyewe, iyo kitu iko sana hata mimi ilishanikuta yani nilivoachanaga na manzi mmoja hivi mrangi(mpaka keshokutwa warangi sitakaa niwatongoze) tangu siku ile ilikua kila demu nikimtongoza inabuma!! wootee yani wazuri, wa kawaida hadi wale wabaya mkuu walikua wananikataa..!! hahahahahahaaa ilachukua kama mwaka hivi yani mpaka nikahisi ameniloga nini??? aaahhh lakini wapi kumbe hamna chochote ilikua ni "latent period" tu nahisi mungu aliamua kunipumzisha ili nisiongeze dhambi nyingi sana!! kwa hiyo mkuu try to be patient tu ako ni ka latent period katapitaa... kama mimi sasa hivi wanakuja wenyewe mpaka nishawachoka
 
Nashukuru sana mkuu
 
Jaribu kukaa nje ya mahusiano kwamuda kwanza...

Wekeza akili na mawazo yako kwenye yake malengo yako mengine...

Usikimbizane na mapenzi yape kisogo na taratibu kwa badae hali hiyo itaisha kwa kumpata yule mlengwa wako...
 
Thnx sister
 
Embu jaribu kufocus kwenye ishu nyingine productive tofauti na mapenzi uone itakuwaje
 
Ukiskia,wale jamaa wa vipaji
Vya kutongoza kwenye cm
Ndyo ww mmoja wapo

Hii mitongozo ya live tuachie
Tu wakubwa zako
 
Miaka 25 unaharaka unaenda wap?nani alikuambia mwana...ume ana ukomo??

~Sikia mtoto mzur ww bado unauwezo wa kupata mwanamke mzuri kabisa tulia acha papara.

~Muda ukifika mwambie Mungu nataka kuoa Mungu ni mwaminifu atakukutanisha na mwanamke mzuri na utaendana nae.kwa ss soma na fanya mambo mengine.

~kila jambo na wakati wake
 
mkuu ukiona hivyo jua lazima utajenga mwaka huu coz hutakuwa na majukumuuu
 
Una pesa?muonekano wako je? samahan hili swali nimelikop sehemu
 
Back
Top Bottom