Na huwa haitoki akilini kiurahisi. Inaweza chukua mpaka miaka 5 kama kweli ulikuwa unampenda kwa dhatiTena unajilaumu na kujiuliza nini kilikupata hadi usione kabisa!! Hapo sasa ndio flashback ya viashiria hasi vinakujia na kujishangaa.
Hili neno umelikazania kweli, tuletee sasa na la mume.[emoji102] ??
[emoji116]
Mithali 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake,Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
[emoji116]
Mithali 21:9
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,kuliko katika nyumba pana na mwanamke mgomvi.
[emoji116]
Mithali 21:19
Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika,kuliko na mwanamke mgomvi,mchokozi.
Haina longo longo lakini tatizo likiisha unaweza kufikiri hivi kweli nililipa pesa ili niongee!!! Lakini wanakusaidia kuona upande wako wa pili ambao hukufahamu kuwa ni kiini cha tatizo, au jinsi ya kuliona ni tatizo dogo na unaweza kulikabili.
Vizuri vinatengenezwa eti?Mie nimegundua hilo. Zamani nilikuwa natamani tu wa wenzangu ila nikaja kujifunza. Kadri unavo mpenda mtu ana kumjali na vizawadi vya nguo, tupafyumu , meke up yaani baada ya muda utakuta unakipusa hatari
Nafikiri wanaolipinga hili ni sisi waafrika, ila ni kitu tunachokifanya sana tofauti tu ni kuwa huyu anakuwa ni stranger na unamlipa.Haina longo longo lakini tatizo likiisha unaweza kufikiri hivi kweli nililipa pesa ili niongee!!! Lakini wanakusaidia kuona upande wako wa pili ambao hukufahamu kuwa ni kiini cha tatizo, au jinsi ya kuliona ni tatizo dogo na unaweza kulikabili.
Hakuna point mwanamke anayekupenda kwa dhati hujisikia mpweke kama kufanisha na vitu vibaya. Kama kweli unampenda kaanae kwa upole mwelekeze. Yaani atakuheshimu kama baba yake.Unajikuta unaanza kumsimanga wako kuwa hivi we huwaoni wanawake wenzio wanavyofanya? nk
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Na suluhu haipatikani, kumbe ulikosea msingi.
Watu wanaweza kufake mambo mazuri tuuuu Ila kufake kwenye mambo mabaya hiyo ngumu.Utajuaje kuwa hiyo ndio sura yake halisi?
Wengi wanaoa mwenye umbo linalomvutia yeye tu tabia watawekana sawa, wakishindwana wanagawana fito.Hapo napo ndipo penye balaa sasa!!
Ha ha hayajawakuta. Yaani ndopale umempenda mtu husikii kuambiliki. Mbona unaenda mwenyeweHizi nasikia wanaume wengi wanazipiga vita.Nilisoma kwenye blog moja wanaume wakiziponda sana. Niende kwa stranger nimuelezee matatizo ya ndani kisha nimlipe na ushauri wake unaweza usisaidie chochote. Nilishangaa sana.
Mimi kwangu likiwa linachemka na nikalimwaga ninalala vizuri, sasa kimbembe ni shost unaemwagia analiimba wakati wewe umeshalisahau. Huku hata ukilipa pesa ukisahau humuoni tena.Nafikiri wanaolipinga hili ni sisi waafrika, ila ni kitu tunachokifanya sana tofauti tu ni kuwa huyu anakuwa ni stranger na unamlipa.
Ha ha mpaka biblia imenena[emoji102] ??
[emoji116]
Mithali 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake,Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
[emoji116]
Mithali 21:9
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,kuliko katika nyumba pana na mwanamke mgomvi.
[emoji116]
Mithali 21:19
Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika,kuliko na mwanamke mgomvi,mchokozi.
Kunyanyapaana kwa zamu dadashemeji[emoji3] [emoji3] [emoji134] [emoji134]
Huo ni unyanyapaa kaka shemeji.