Maisha ya peke yako

Maisha ya peke yako

Kweli ulikuwa unapendwa kila baada ya dk 10 missed call 10. Hongera

Nilitaka nije ila siwezi kutimiza missed call zote hizo.
Hahaha usiombe yakukute utajuta siyo kupendwa kule ni uchizi
 
Yeah ni kweli kipenzi
Mahusiano tuliyonayo ni complicated sana ...mtu kama unaweza kukaa single ni heri
Complicate ni wewe mbona ukiwa cool na ukawa na true love mapenz huwa matamu

Ugumu ujapale mnapoanza kupiga vibomo eti mwanamke anatakiwa matunzo......na mwanaume nao wanakaza maana siwezi kukutunza wewe nikamwacha my ma

All in all be you alaf uwone kama kutakuwa na complicated stuff
 
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Hahahah umentouch hapo kwa vyupi vipya khaaa..mapenz nyokoo sana pesa ya vyupi 25,000 ukiweka kibubu hujanunua jipsam bod za kutosha nyumba
 
Kwa kweli nna uhuru wa ajabu!
Nampost nnaetaka bila kuulizwa kwa hasira huyo ni nani yako?
Sihangaiki kununua vyupi vipya
Naenda kutalii kokote nnakotaka, leo nikijisikia kuspend weekend bagamoyo naenda bila kipingamizi wala kujieleza.
Nice..Hakuna Raha Kama kuwa single...Hata ukilala baa Hakuna wa kukuuliza.
 
Kabisaaa!
Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashite sorry I mean kiwango cha ulipumba oops l mean wa kiwango cha phd , watu wote hawa duniani uwe single kweli....

Adam alikua na almost kila kitu pale Aden kasoro smartphone lakini hapakunoga sasa sisi tupo zaidi ya bil 7 unaanzaje kuwa single?

Anywayw I hope pm pako wazi
 
Mhhh! Hali kam hii imeshawah nikuta san nikaona bora kuwa single until this time bt pamoja na hiv na miss pia niwe na mtu tatzo ni kumpata mtu muelewa na mtakayeendana na unaweza ukaish vzur zaid hat ya kuwa single ila kuwa single ni better km hujaona mtu sahihi wa kuwa nae ila once ukampat mtu muelewa utaenjoy mm pia ni muhanga wa issue kam hyo and am single naenjoy sometime bt kuna muda na miss san kuwa na mtu
 
Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashite sorry I mean kiwango cha ulipumba oops l mean wa kiwango cha phd , watu wote hawa duniani uwe single kweli....

Adam alikua na almost kila kitu pale Aden kasoro smartphone lakini hapakunoga sasa sisi tupo zaidi ya bil 7 unaanzaje kuwa single?

Anywayw I hope pm pako wazi
Mda mwingine baada ya uhusiano kuna haja ya kuokota vipande na kujikusanya upya.
 
Wakuu huu utakua ubinafsi wa kiwango cha ubashite sorry I mean kiwango cha ulipumba oops l mean wa kiwango cha phd , watu wote hawa duniani uwe single kweli....

Adam alikua na almost kila kitu pale Aden kasoro smartphone lakini hapakunoga sasa sisi tupo zaidi ya bil 7 unaanzaje kuwa single?

Anywayw I hope pm pako wazi
Kuwa single haimaanishi umekosa mtu ni maamuzi tu na kuelewa hasa nini unahitaji na kwa muda gani na nini kusudi la Mungu. sometimz anakuja mtu kabisa unasema nikimkataa huyu i wont have the reasons nor the guts to Blame God!
Inabidi nimwambie tu kama kuna ulinipangia mwingine send him sooner, maana huyu siye nikiona nachanganya madawa kama hivi naamua nikae pembeni kidogo
 
Back
Top Bottom