Elishy
Member
- Mar 3, 2017
- 55
- 28
Juzi tu nilikuwa kwa rafiki yangu mmoja amenizidi umri anachezea miaka 35 hivi anaishi kwao mpaka leo. Sasa kitu cha ajabu nilichokikuta pale,jamaa alikuwa anashida na meza akaniambia anahitaji ila atamwambia mama yake amuuzie ile anayotumia ndani nikamshangaa akanambia ni kawaida kamuuzia vitu vingi sana makochi sasa dah! Nikaona jamaa anakosea sana coz mama si kama anamuuzia ili anunue vingine hapana ni shida tu za hapa na pale.
Kwako ni sahihi kweli hii?
Kwako ni sahihi kweli hii?