Old moshi ni Tarafa na si kabila Kuna tarafa ya old moshi mashariki na magharibi tarafa ya old moshi mashariki kuna vijiji vya tela, mbokomu, mahoma, kikakarara,kisamo,kidia tarafa ya old moshi magharibi kuna vijiji vya mdawi, kirrua, mowo nk..na ndani ya hivyo vijiji kuna mitaa kama maemben...