TANESCO - Kulikoni Watanzania wenzangu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO - Kulikoni Watanzania wenzangu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba_Enock, Nov 17, 2011.

 1. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Takribani siku mbilli mfululizo kumekuwa na ukatikaji wa OVYO wa umeme na jambo la kushangaza hakuna maelezo yoyote yale kutoka TANESCO!

  Kwa siku ya leo pekee umeme umekatika na kurudi zaidi ya mara kumi !!!...

  Naongelea maeneo ya kuanzia TEGETA mpaka Bunju ...

  Kama kuna m-JF anayefanya kazi TANESCO, tafadhali tunaomba utujuze KULIKONI?
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  mkuu sio huko kwenu tuu, maeneo ya sinza A,just opposite na mlimani city hapa, hatujauona umeme tangu usiku wa kuamkia leo mpaka saa hizi nnapoandika ujumbe huu 1810hrs,,, tanesco walitoa tamko kua kuna kifaa kimeungua, bt hiyo ilikua juzi, na jana umeme uliwaka, cha kushangaza hawatuambii wananchi kwamba tunaexpext labda umeme utakatika kwa kipindi cha muda fulani mpaka watakapomaliza kurekebisha mtambo wao,,, they dont care at all.. Kwa kweli kukatika kwa umeme leo kutwa nzima kumeniathiri sana
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wa-Tanzania wa kawaida tunapata tabu sana na huu utendaji kazi wa TANESCO ... They are killing us softly!!!

  Umeme unakatika kila baada ya dakika 20 na kurudi baada ya dk 20 ...!

  Kama kuna kifaa kiliungua juzi - well - ni suala la kutafuta "spare" na kufunga then voila! sasa inakuwaje kifaa kinaungua, wanafunga "spare" then umeme unakuwa kama yo-yo!??
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Tanesco wamezima umeme makusuddi, wamepata taarifa za kiintelijensia kuwa al shabaab wameingia nchini. Kwa hiyo Tanesco wameamua kuzima umeme ili al shabaab washindwe kupiga nguo zao pasi, na tumeambiwa tukiona tu Msomali kavaa nguo zimejikunja tumtambue kirahisi kuwa huyo ndiyo al shabaab
   
 5. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Jana kifaa cha mamilioni ya dola kiliripuka Ubungo.Huenda hili limeongeza tatizo.Makubwa yatawakuta TAanesco na watanzania mpaka hili shirika liwache wizi na dhulma za wazi wazi.Kwanza ni lile deni la Dowans,umeme mumeuza na pesa kutia mfukoni halafu hamtaki kulipa kama mlivyokubaliana.Baadhi ya Watanzania wenye chuki za kidini kwa kujuwa Dowans kuna muislamu wanashinikizwa zisilipwe.Sasa kipi kinawashangaza Tanesco kushindwa kugawa umeme.
  Si hivyo tu yapo malalamiko mengi ya watu wasioelewa madeni yao na kulazimishwa kulipa malaki ya fedha.Acheni dhulma mara moja shirika lilpate baraka na neema za Allah.
   
 6. E

  Ectoparasite Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio Dar tu wakuu Arusha mi naona mgao unaendeleaa sana..
   
Loading...