Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,980
Hivi Kabila ni Lugha?
Karibu uchagani bana, bila kujalisha Machame, Kibosho, Marangu, Old Moshi, Kilema, Mwika, Rombo, Kishumundu........sema utakako........ Ukifika utakunywa Mbege ile ile, Kisusio kilekile, Mila zilezile, Utacheza Iringi lilelile, Utapewa Isale lile lile.
Uchagga ni zaidi ya Lugha bana! Mtu yeyote ambaye kiongozi wake anaitwa Mangi basi huyo ujue ni Mchagga.
Kuna swali lingine?
Kama hakuna rudini mkajadili katiba yenu kule, tuacheni wachagga na mambo yetu.