Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

umenikumbusha kuna 'sista duu' mmoja nilimuuliza shule umemaliza lini
akanijibu 'two hours ago' mwenyewe ndo kasema miaka miwili iliyopita...lol

hahahahahaha The B, kwa sound we ni noma! Kisa cha uswazi watu na kusema nidipu wakimaanisha "ni-beep" badala ya "ni-miscall"
 
  • Kuvaa mkanda wa plasitic,
  • Mshati yenye picha picha,
  • kuwa na nguo inayoonyesha ishara ya mti wa bangi,
  • Viatu vilivyoisha sole na kwenda upande,
  • Kuvaa suti yenye rangi mbili,
  • Kuwa na wallet mbovu iliyochakaa,
  • Kuvaa suti na sandals
  • Kuvaa cheni fake,
  • Kuvaa mipete zaidi ya moja kwenye mkono tena fake!
  • Kuweka makalamu mengi kwenye mfuko wa suti.
  • Kutembea nakitambulisho nje mazingira yako ya kazi,
  • Kuvaa kamba yenye flash disk hadi kwenye ma baa
  • Kuwa kwenye baa na kuanza kuwasha laptop


Mengine endelezeni

Naongeza na mimi
  • Kujamba mbele ya kadamnasi mbuuuu
  • Kubanja mbele ya kadamnasi paaaaaaaaa
  • Kuvaa chupi uliyo piga vilaka au kushonwa na mkono
  • Kugongea bia mezani
  • Kunywa supu na matunda
 
Kuvaa nguo za migongo wazi mchana wa jua kali huku unateambea kwa miguu mijasho inakutoka!
Kuvaa shanga huku umevaa top fupi alafu zinakuwa zinaonekana!
Kuvaa nguo inayoonyesha bra alafu inakuwa chafu kupita kiasi!
 
Lol! Hujamkuta mkaka ana mke na 2 kids, afu anapokea simu ya babake alieko kijijini ' hellow dadii', mi huwa nashika kimchina changu chenye redio nisije nikacheka nikadundwa buree!
wadada wengi kuwaita wazazi wao DADY..MUM,,.huku wazazi wao hata kidato hawajaenda!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom