jaman wana JF mi ni mgen humu naombeni msaada wenu

Safi sana kamanda kwa kujitanabaisha kuwa unaufaham juu ya mali asili. Naomba kufahamu ukweli juu ya uwepo wa madini ya mercury ya asili huko maeneo ya Arusha kama unafaham tafadhari nipe data kamili na wengine wafaham
 
Mtafute mtu anaitwa PAW umwambie akupe muongozo unaitwa ban unasheria zote za mambo ya maliasili
 
Ingawa me mwenyewe mgeni, bt inabidi niseme karibu mbio2 ili nipate huo uhondo wa mambo uyajuayo. Mana na me kwa kupenda kujua........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom