Uhuni niliofanyiwa na tiGO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni niliofanyiwa na tiGO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Biohazard, Nov 15, 2011.

 1. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mie natumia Mtandao wa TIGO Leo majira ya saa kumi jioni simu yangu ilipoteza network ghafla baada ya kuongea tu na baadhi ya simu. Imekua ni kama desturi toka niingie Jiji la Mwanza wiki iliyopita tigo wamekua na matatizo ya network.

  Nilichukulia suala hilo kama la kawaida lakini nikawa najiuliza mbona wengine wanapata network? Nikaamua kutulia nyumbani nikiwa na mawazo ya kwenda Tigo shop siku ya kesho yaani Tarehe 16 november 2011. Mara bimkubwa aliporudi akaniuliza wewe simu yako umempa nani mbona nikipiga anapokea mtu mwingine? nikamwanbia itakua network sababu hata simu yangu haionyeshi network.

  Nikachukua simu yake nikapiga akapokea Muhindi nikamuuliza inakuaje namba yangu unapokea ww kila inapopigwa? Umeanza kutumia lini hiyo namba? akajibu wiki hii hapo akili ikanijia Teyari namba yangu ilisha uzwa.

  Nimempigia tena sahizi kapokea akaniambia yeye katengenezewa kama special number, nikamjibu isiwe tabu keho nitaenda kufuatilia TIGO.

  Mpaka sasa sielewi hiyo namba yangu imechakachuliwa kwa mpango upi na kawa authority gani NAOMBA USHAURI wenu WANAJAMVI NICHUKUE HATUA GANI? sababu nimeitumia namba kwa miaka mingi sana.
   
 2. M

  Mwera JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ikiwa namba ni yako na ile fomu ya usajili unayo,nenda kawafungulie tigo mashtaka na uwadai fidia ya tshs 200 miliöni kwa kuingilia uhuru wako wakupata mawasiliano nakuvuruga shugulizako zote kibiasha, kimaisha,pia unaweza kutafta wanasheria ukafungua kesi na utalipwa fidia kubwa.
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  tigo hiyo habari inawamalizeni sokoni. Hata sisi wateja wenu wa zamani tusha nunua line za aair tewl, twazigawa hizo ili kutupata kwa haraka na kwa uhakika
   
 4. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! hiyo kali!! Je uliregister hiyo namba!! Nijibu hilo nikwambie cha kufanya.
   
 5. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Je ulijisajili ndg. Kwani kama haujajisajili ni rahisi wao kukushinda. Hawa jamaa wanatuona mazuzu.
   
 6. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ndiyo nilifanya Registration Mkuu ya Namba na Tigo Pesa
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Ndio Mkuu nilisajili.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Duh! Ngoja niache ubishi wa kuung'ang'ania huu mtandao. Pole sana. Hivi ingekuwa namba ya mkeo halafu inapokea njemba ya kiume tena choli choli kuch kuch hotae si ingekuwa balaa!
   
 9. PROF. ENG

  PROF. ENG Senior Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toka huko baba, unasubiri mpaka yakupate.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,792
  Likes Received: 83,168
  Trophy Points: 280
  Huyu ni mama. Aisee mwenye phone # iliyochakachuliwa usikubali namba yako ipotee fuatilia ili ujue nini kinaendelea na kama watataka kukupa namba tofauti weka ngumu waambie unataka namba yako ile ile. Huu ni ushenzi wa hali ya juu. Inaelekea hawana hata rekodi za kuonyesha kama namba tayari inatumia na mtu mwingine au huyo mhindi amehonga ili kuipata namba yako.
   
 11. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  duuh!! hii kali nani kashfa ya hali ya juu
   
 12. E

  Ectoparasite Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo ya cameroon hayo..wanakuuza ivo..
   
 13. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Inawezekana wanafanyiwa hvyo wengi,ila wanakuwa wagumu kufuatilia,sasa hyo imekutokea wewe great thinker kula nao sahani moja mpaka kieleweke.
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Ili na wewe kuwakomoa,wafungulie mashtaka,then uwadai fidia ya shiling billion 50.
   
 15. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Unaweza kupeleka malalamiko yako Office of Fair Trading (OFT). Hii ni taasisi rasmi ya kushughulikia mambo kama hayo ya matatizo ya kibiashara. Lakini kwa kujua mambo ya Bongo huenda usipate matokeo mazuri. Njia ya pili ni hiyo ya kwenda mahakamani na kudai fidia. Kama kuna watu wengine ambao ilikwisha watokea wanaweza kujiunga na wewe mkafungua kesi ya 'class action'. Mimi nilikuwa na namba yangu ya Tigo liyokuwa inafanana na namba zangu za mitandao mingine. Kuna kipindi nilisafiri kwa muda mrefu kidogo niliporudi nikakuta namba imeishafungwa. Nilipoenda kuifufua nikaambiwa haipo tena kwenye system wakanipa namba nyingine ambayo haifanani na namba zangu zingine.
   
 16. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #16
  Nov 16, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  utajiri huo changamka si ulisain terms pale unaposajiri changamka tena niweke mimi niwe mwanasheria wako
   
 17. mawazoyangu

  mawazoyangu JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Pole sana. Mimi pia walinifanyia hivyo, ilikuwamajira ya saa nane mchana mwaka jana simu iliandikia insert sim card nilidhani labda ni tatizo la simu kushindwa kusoma card nikatoa line na kuirudisha na kuwasha lakini haikuonyesha kama kuna mtandao, kuangalia za wenzangu mtandao upo, bahati nzuri nilkuwa na line ya voda watu wakaanza kuniambia mbona simu yangu ya tigo anapokea mtu mwingine tena yuko lindi? nilivyojaribu kupiga kweli akasema ni namba yake ameinunua ofisi za tigo kama mimi nilivyoinunua tena pale jirani na makao yao makuu, niliwapigia tigo nikawaeleza wakajibu niifuatilie ofisini kwao na nikaenda lakini wakaniambia watanipa namba nyingine kwani ile hawawezi kuirudisha, walisema kuna mfanyakazi ambaye sio mwaminifu anauza namba za watu baada ya kupewa fedha kwa kuzifunga kisha anaihamishia kwa huyo anayeihitaji. hadi leo ile namba ukiipiga inapatikana hewani. tigo ni wahuni
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,547
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  awezi hizi ni zile namba tunazopigiwa usiku wake zetu wanahangaika kujua nani kumbe kapata namba sehemu
  awawezi kujiandikisha maana ni uhaini kwao hta akiamua pditel tutawafunga wakiendeleeza kamchezo chao
   
 19. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  tigo ni wahuni! ukienda kuomba special number,wanaichukua hiyo numba na kuipiga,kama haipatkani wanakupa ikipatikana wanakwambia ongeza dau coz kuna mtu mwingine anayo..yaani c waaminifu kabisa,hata customer care wao wapo ka vile hiyo kazi wanafanya kwa kulazimishwa kabisa,its just like hawapendi kazi yao,me kuna mmoja aliniambia ''kaka kwanini usijiunge na voda fasta,tigo pesa magumashi; nikachokaa mwenyewe.
   
 20. Ghost

  Ghost JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tigo naona ni TIGO kweli....lol
   
Loading...