Recent content by du rugendo s.h

  1. du rugendo s.h

    Naombeni mnipokee

    Karibu cutey👍
  2. du rugendo s.h

    Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Karibu kwetu nairobi mji wa wanjanja👍
  3. du rugendo s.h

    Mchumba

    Mrejesho nitauleta hapa hapa kwenye jukwaa
  4. du rugendo s.h

    Mchumba

    Natafuta mchumba wa kitanzania,awe kati ya umri wa miaka 35-40.Mie kwangu nina miaka 43 na awe ametokea mikoani,mtulivu na mcha mungu na kama ana mtoto awe mmoja wa kike,umri chini ya miaka kumi nimeajiriwa na ninao uwezo wa kumpa mtaji aanzishe biashara ndogo kwa minanjiri ya mahitaji madogo...
  5. du rugendo s.h

    Five Amisom soldiers arrested over sale of arms

    watu wengine kwenye hili jukwa wanayo shuki inayopita iliyokuweko afrika kusini.wewe unanoekana bado hujakoma kiakili bando ujana unakuzumbua.chuki haitakufaidi lolote.hasindi hana sababu.
  6. du rugendo s.h

    WAKENYA hawaamini TUME yao Lubuva anajifunza nini ?

    sio wakenya wote ambao hawaitaki hii tume ya uchanguzi hapa mbali ni wale wanaotaka kuiondoa hii tume kwa njia ya mlango wa nyuma eti wanataka kuwe na gentlesman agreement na ili hali tuna katiba ambayo hao hao waliipingia dembe wakisema.katiba nisasa,kama si sasa ni sasa hiyo.wananjua hawana...
  7. du rugendo s.h

    Hatari: Mrembo anyonyoka nywele kwa Kusuka ‘Weave kichwani’

    wacha hivyo bwana,siku moja niliingia kwenya gari la matatu kama tunavyozinjua hapa kwetu,kuna dem alikuwa amenyeshewa hiyo weave ya kwake jamani nilishindwa kwani nimeingia kwenywe zizi la kondoo.ufundo kama kakondoo kaliko nyechewa.kwem kwenye ngeli ya ka.
  8. du rugendo s.h

    Hatimaye Punda Kafa

    hapa kwetu kuna mzungu mkikutana umebebesha punda mzigo kupita kiwango,huwa ana mfungua punda na ww mwenyewe unaubeba hata kama itabidi ulikokote mwenyewe.la sivyo akikukuta umebebesha punda na ana vindonda mwilini yeye humpiga risasi hapo hapo ili liwe funzo.
  9. du rugendo s.h

    Uhusiano uliopo kati ya wasukuma na wanyamwezi

    wa Tz huwa mwanifurahisha kwa kuongea peupe.Hapa kwetu huwezi sema ukweli watu wengi wanafiki.
  10. du rugendo s.h

    Kiijana anaanzia umri gani hadi umri gani?

    ni miaka 18-35 kama ninavyoelewa mimi baada ya hapo nadhani ni mwanaume wa makamu.ngonja wanje wenyewe.
  11. du rugendo s.h

    Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

    hapa kwetu wanawaita{sponsor}mthamini bro.
  12. du rugendo s.h

    Nawaza sijui itakuwaje kwa huyu binti, nahisi nimemzidi umri sana

    hilo pengo ni sawa mkuu.kaoe mara that that.
  13. du rugendo s.h

    Nimemfuma mke wangu akiwa na hotport la chakula akimpelekea hawara yake,,!! Daaah..

    uliharakisha sana,ungesubiri uone sehemu ya pili ya bongo movie.inaonekana jamaa anampinga randa sawasawa
  14. du rugendo s.h

    Meseji za mwisho wa mwaka duh hatari zaidi.

    wametuzoea sana,kwani hii ndio gharama ya mapenzi yao kwetu?wakome...
Back
Top Bottom