hapa nilikuwa namaanisha kijana wa umri,je naweza kuitwa kijana hadi umri gani?Mwisho wa ujana unategemea na uchumi wako....kama mfereji wako wa hela ni wa kudumu kwa misimu yote basi wewe utakuwa kijana siku zote....lakini kama hata milo mitatu inakupiga chenga na ukiumwa matibabu yako ni kwa rehema tu za Mungu....utaonekana mzee angali bado ukijana mbichi.....
kwahiyo unataka kuniambia hata nikijaaliwa kufika umri kama wa ...80+ na fedha ninayo,naweza kuendelea kuwa kijana?naweza kupokelewa na umoja wa vijana wa vyama vyetu?Hakuna kitu km mzee au kijana kwa kulinganisha na miaka!Pesa zako ndio umri wako,ndio maana hat ukiwa mdogo km unazo utaitwa mzee nk!
kwahiyo miaka 46 tayari ni mzee? nadhani mgawanyo wa post #2 utakuwa sahihi zaidi18-35 ujana.
35-45 transitional kwenda uzee
45 na kuendelea ni uzee.
Siku hizi utasikia kikongwe wa miaka 60, huku si kunyanyapaana huku?Ujana 18-45
Utu uzima 45-60
Uzee 60-90
Ukongwe 90-
Ni kweli kabisa mkuu, maana 60yrs ni bado baby sana ati.Siku hizi utasikia kikongwe wa miaka 60, huku si kunyanyapaana huku?