Kwenu wapi mkuuu?hapa kwetu kuna mzungu mkikutana umebebesha punda mzigo kupita kiwango,huwa ana mfungua punda na ww mwenyewe unaubeba hata kama itabidi ulikokote mwenyewe.la sivyo akikukuta umebebesha punda na ana vindonda mwilini yeye humpiga risasi hapo hapo ili liwe funzo.