Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

Tabia ya wasichana vyuoni kutembea na wazee

dunia ya sasa ukitaka wa kwako peke ako chonga mgomba weka chumbani, na kama Anakupenda hawezi kukuoneshea wazee wake, ila wavulana wengine wavyuoni mnawatuma wasichana wenu kwavibabu afu mnakula wote...
 
Wanatumika sanaa, yaani kwa sanaa, na sisi tukiwatumia na kutupa kule wanaanza kulalamika ooh wanaume wa siku hizi, ooh bora wanaume wa kizungu huku afrika ni mjanga, and so on fake life.

Maisha ya mapenzi ni vile unavyoyachukulia you take is easy you will be taken easily.
 
10995090_1548655672120943_1433558828_n.jpg
 
Back
Top Bottom