Wadau niko njiandaa kuandika historia ya komandoo wa kitanzania aliye kuwa akitwa Tarimo, kijana huyu alipata mafunzo yake kule Cuba, na baadae kurejea nyumbani Tanzania.
Je kuna mtu awaye yeyote mwenye ufahamu wa ili Jambo? naomba michango yenu zaidi.
Jeshi latwaa uwanja wa ndege, Sirte
Picha za Gaddafi za ng'olewa uwanjani
Wanajeshi wanaoitii serikali ya mpito ya Libya wametwaa uwanja wa ndege katika mji wa Sirte, mahali alikozaliwa aliyekuwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.
Wapiganaji walisonga mbele kupitia majengo ya uwanja wa ndege...
Awali ya yote natanguliza pole nyingi sana kwa Taifa letu la Tanzania katika wakati mgumu hasa wa tukio kubwa lililotokea hapo siku ya Jumamosi majira ya usiku mwingi pale ndugu na jamaa yetu walipopoteza uhai wao.
katika hali ya kustajabisha kabisa watu wengi wameanza kuchanganya na siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.