Na Kuacha Vifua Nje Nako Ni Fashion? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Na Kuacha Vifua Nje Nako Ni Fashion?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Allien, May 31, 2012.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Inashangaza sana? Unakubaliana na haya? Kama ndiyo au hapana, ni kwa nini?

  Wacha picha ziongee . . . Inashangaza sana. . . .


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mbona hakuna picha?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Sijui macho ya ngu
   
 4. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  BADILI TABIA zipo sasa . . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kaaaaazi kweli kweli hivyo sio vifua mpwa
   
 6. Typhoid

  Typhoid JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Biashara matangazo,mie sioni tatizo kwa status ya celebrity walionayo, wanaowataka wanawataka wavae hivo,usiowataka achana wao watakakuumiza kichwa bure
   
 7. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,043
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hiovi wewe unazipata wapi, umeanza na Kwaito, ukaja mapaja, sasa vifua, halafu wote wanadada, Mbona wanaume wawaacha. Huoni milegezo na vitu viovu kama hivyo. Achana na dada zangu haraka kama sivyo nakuzukia na RUNGU
   
 8. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nyati endelea kuperuzi utakutana na mlegezo wa kukata na shoka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  biashara matangazo
   
 10. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Allien we endelea kutuwekea picha tu sie tuone humu, tukiona tunaachana wala hatuwazingatii aka!
   
 11. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  utadhan mat***k yamehamishiwa kifuani.
   
 12. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Vifua vyenyewe havina hata mvuto....
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Daaaaaa....kusema ukweli wakubwa wanafaidi
   
 14. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #14
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mavazi yetu kwa kweli yanatia aibu,usasa unatuharibu alichovaa rihana,beyonce, {beach au 9t club}.mtanzania unamuona kavaa kariokoo mchana kweupeeeeee
   
 15. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Embu tuachieni wanaume tujienjoy kwa macho...Aaahh, kila kitu mnataka kibanwe na kifichwe!
   
 16. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Huyu aliyevaa gauni refu alipigwa picha hii wakati alipotimuliwa asiingie ndani ya mahakama ya Kisutu kwa sababu ya kuacha kandambili zake nje na kupasua sehemu ya nyuma ya gauni lake mpaka karibu viunga vya m...ta...o
   
 17. d

  double bb Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh !!!!
   
 18. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Nyonyo, Matiti, Mtindi, ita utakavyoita.

  Wote wanayoyaonesha yamesimama kwa nguvu ya Bra, Sidiria, Jeki hakuna na mmoja mwenye saa sita anayeyaacha wazi kwani hata yakiwa ndani ya nguo yanavutia na kusababisha wengine TUDINDE.
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  ukimaliza tuwekee za wakaka wakitembea vifua nje..... Maana wanaonyesha chuchu vifua mpaka vitovu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   

  Attached Files:

Loading...