yaani ninyi ni watu wa ajabu sana.Ben saanane jana alitofautina na watu wengi kumpigia kampeni huyu Willium na shy-Rose Bhanji hapa JF na mabandiko mazito mazito.Kuna siri gani hapo?au ni urafiki wao tu
Hivi kujinadi bungeni ni lugha gani inatumika? ni kiswahili au kiingereza?
Nuclear,kwenye reality kuna mambo mengi sana ebu tuangalie definition ya REALITY
1: You use
reality to refer to real things or the real nature of things rather than imagined, invented, or theoretical ideas.
2: The
reality of a situation is the truth about it, especially when it is unpleasant or difficult to deal with.
3: You say that something has become a
reality when it actually exists or is actually happening.
4: You can use in
reality to introduce a statement about the real nature of something, when it contrasts with something incorrect that has just been described.
Huyu Willy hata mimi nimemsupport asilimia mia 100% based ya vigezo vifuatavyo
1: NI JF Member kama nilivyokufahamu wewe Nuclear,hivyo as the days goes on Reality ni kuwa we are family no matter tunatofautina itikadi na mitazamo lakini tunaunganishwa na JF kama watu tunaolitakia TAIFA jambo jema na kwangu binafsi mtu yoyote anaetakia Tanzania jambo jema he is part of of us, kuwa CUF, CDM au CCM hizo ni Itikadi tu cha msingi tunaelewana kuwa wote safari yetu tuchukulie tunaanzia Kinondoni tunaenda downtown Azikiwe Posta, mwingine uenda akatumia barabara ya kawawa akaibukia Morogoro Road kisha akaingia Azikiwe Posta na mwingine akatokea barabara ya Ali Hassan Mwinyi akaja Surrender akamalizia kwa kuungana na Bibi tiiti yuko Azikiwe Posta.Njia hizo ndio sawa na vyama au aina yoyote ya kusimamia Taifa letu.
2: Kupita kwake tayari JF itakuwa na Insider na kwa kuwa kabla yote yani mpaka sasa hivi taarifa za EAC ndani ya JF ni ndogo sana kulinganisha na jinsi ambavyo tulipaswa kujipanua na kujua taarifa nyingi ambazo ni faida kwa Taifa letu,na wewe Nuclear unajua jinsi tulivyo wadadavuzi na kuwa ujio wa taarifa za EAC tayari mimi na wewe na mwingine tutayajadili tukiwa na taarifa halisi na za ndani.
3: CCM inamatatizo lukuki,hivyo kesi ya Willy ni kuwa sisi wana JF tumpe support ya mass ambayo inainfluence kwenye kada ya wanasiasa.
Correct me if am wrong kwa hili hivi kuna mwanasiasa au kiongozi ndani ya Tanzania anaweza kusimama kubishana na JF kwa lolote lile?Hakika kama JF Candidate wa siasa ndani ya Nchi ni mwanasiasa asie na mipaka yumo ndani ya ofisi za Serikali,yumo CUF,CCM,CDM na kokote pasikofikia kwa ulahisi wa kimwili yani unakutana na kibao kinakwambia kama si muhusika wa eneo hili hulusiwi kuingia lakini JF humo ndio kaweka makazi na anakula kiyoyozi safi na kikombe cha kahawa na anaitwa bosi,je hilo unapingana na hilo?
Hivyo na matatizo ya CCM,wapo wanaccm haijalishi anatoka ukoo wa nani kuwa wao heri ya nusu shari kuliko shari kamili.Tufike sehemu tusihukumu wote kuwa CCM wachafu ni kutowatendea haki wengine.Mfano Charles Makongoro Nyerere Kama angekuwa Member wa JF hakika Willy angeona moto wake hapa hakika Makongoro anagekuwa candidate wangu,sisi wana JF inakuwa ngumu kumjenga Makongoro kwa kuwa kajitenga atujui lolote kumhusu.Naamini Slaa ni mtu mzima kumzidi Makongoro lakini ni Member wa JFau nae bado anawoga kuwa watamsema mtoto wa Mwalimu kajiunga na JF.Hivyo kama mwanaJF naangalia candidate wetu huyo Willy based on fact tulizo nazo mkononi.Tunamjua Willy toka alivyokuwa huko USA, mimi nilimbana sana baada ya mambo ya majina ya watoto wawakubwa kuingia kwenye mazungumzo ya midomo ya Watanzani.
4: Kuhusu upeo na mengineyo tutampima kwenye utendaji huo,
its better to have something than nothing,hivyo ni vyema JF ikawa na member EAC kwa tiketi ya CCM,akituletea zile za kiccm analijua JF naona unaweza kuona hali ya Mtu aliyependwa na kutetewa na JF DK Harrison Mwakyembe leo hii wanajf wanaonyesha misimamo yao ya wazi thread yoyote ya Mzee yule pindi inapofika humu hakika nyingi zinaonyesha dhahili kuwa ziko Negative dhidi yake na sio utetezi tena juu yake.
Kwa hayo Nuclear ebu tumjalibu kwa kuwa ndicho tulichonacho mkononi.