Huyu hapa anaelekea kumpiku Nape kwa "point" ndani ya CCM

Ndg zangu waislam na wakristo, tumuombe mungu sana ili Nchemba alaaniwe na mola wetu, mtu huyu anayemdhalilisha mungu wetu, anayewatukana watu hadharani, tufunge kwa ajili yake, mnamkumbuka Mudhihili? mnamkumbuka kwa kutukana jeshi la mungu? eti zitto toka nje...
 
Filamu inapotengenezwa wahusika kwenye nafasi mbalimbali huwekwa kulingana na wao walivyo. Pia hutegemea sura, tabia na hata matendo yako yanavyofanana na uhalisi wa kinachoigizwa. Mwigulu kawekwa na CCM bada ya kujua kuwa anaweza kujifanya punguani na kuset arguments za kijinga bila aibu na kujali wanao mtazama. Anafit kuwa character wa nafasi hiyo. Na wanamtumia kweli
 
Amekimbia Jf kama alivyo kimbia mwenzake Nape wapatikana kwenye FB wanakosifiwa.Tulishamgundua siku nyingi ni bomu linalosubiri kulipuka hatuumizi kichwa.Mmpotezeeni tu
 
huyu mbunge kila siku cdm cdm cdm, chadema hawakumueka pale bungeni, he should concentrate kwenye jimbo lake na wananchi wake na kutetea maslahi yao bungeni. the more anawatukana cdm the more cdm itapendwa
 
Ndg zangu waislam na wakristo, tumuombe mungu sana ili Nchemba alaaniwe na mola wetu, mtu huyu anayemdhalilisha mungu wetu, anayewatukana watu hadharani, tufunge kwa ajili yake, mnamkumbuka Mudhihili? mnamkumbuka kwa kutukana jeshi la mungu? eti zitto toka nje...

Kwanza tungeanza kufunga ndugu yangu ila Mr Kukurupuka aka Muuza sura alaaniwe kwa kuwa yeye anaonekana anapenda sana kuuza nyago ili apate watotoz na sio kuwakilisha wananchi
 
Aache ujinga aise "ETI MCHUMI" na alikua BoT, Mmmh majibu nayapata kama hawa ndio Economist wa TZ basi kadhalilisha kada hii. Wekeni bodi ya UCHUMI wakae na kupiga pepa kama CPA na wahasibu.

Kama ulimeza darasani UTATAPIKA tu matango yako mtaani na hata asiekwenda shule atakushangaa na kua na ualakini juu ya elimu yako. Njaa ni adui wa kufikiria......
 
Ndg zangu waislam na wakristo, tumuombe mungu sana ili Nchemba alaaniwe na mola wetu, mtu huyu anayemdhalilisha mungu wetu, anayewatukana watu hadharani, tufunge kwa ajili yake, mnamkumbuka Mudhihili? mnamkumbuka kwa kutukana jeshi la mungu? eti zitto toka nje...
Ndugu umenikumbusha mbali mno,hivi sijui yule mzee ameishia wapi?hawa ili Mungu aendelee kuwapa kichapo inabidi kuwaombea rehema na kuwapenda.Yule mzee alikuwa anaboa sana,yaani lazima waazibiwe na malipo ni hapa duniani haiwezekani Mungu akawaacha kwa kilio cha watz wengi hivi
 
Huyo mungu wenu kila siku basi nna uhakika huyo mungu atakuwa wa Mabox hata mkikurupuka awe upande wenu tu dah dah
We wasema Mungu wetu hawahi wala hachelewi,nyie mlijua siku moja siri za kifisadi zingejulikana sasa huyo ni Mungu ambaye amehaidi atatuonyesha mambo makubwa tusiyoyajua
 
Nchemba; ukiondoa N unabaki na neo "chemba" sasa fikiria mwenyewe ni chemba ya nini hiyo? ama kwa kiswahili kingine ni karo or else show that Nchemba=Karo
 
jamani kwa walio soma miaka ya 1990's shule ya ufundi Iyunga watamkumbuka mwalimu mmoja aliye kuwa amechanganyikiwa kiakili chanzo kinasekana ni kusoma mno kupita kiwanngo

nadhani huyu huyu bwana anaelekea huko mwisho wa siku ata run off mentally ingawa sipendi hali hii imtokee kabisa ila anaikimbilia mwenyewe

Yule mwalimu alikuwa anaitwa Yamakili, kulikuwa na sense ya u-geneus ila tatizo lilikuwa kuchanganya mambo! tumekunywa naye sana uji pale DH.
 
Chemba/Pipes = Karo/Choo hapo ni sawa na pipe X Karo = Choo X Chemba kwa vile Choo X Chemba zote zina C imekufa sasa (ref elimination method). Inabaki x = Karo X Choo.

Pipe in P mbili inakufa na kubaki sasa Karo. Ili kupata LCM yake unaongeza t. Inakuwa Karot.
 
Back
Top Bottom