Mdada wa benki wa ukweli sana

Mdada wa benki wa ukweli sana

Mtongoze kikawaida tu mjomba. Hao wanaosem Eti hela hela hela! Midomo yao imejaa zege. Unaweza kumuona demu mkali kumbe masikini yuko simple..saa kila mtu anaogopa kumtongoza kwa ukali wake, wewe ukiingia na lugha laini ya kawaida unakula mzigo. Mwanamke wa maana na anayejielewa ukianza kumtanguliza pesa anaweza kukudharau sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu ushauri mzurii
 
D
Wee nenda hapo kaweke hela alafu toa noti moja mpe mwambie kunywa soda fanya mpango umchekee chekee omba namba kabla ya kuomba namba msifie jifanye kumwambia umependa huduma yake ila chonde chonde wakati unampa hela yako usiangalie pembeni dadake baadhi huwa ni wezi kishenzi mimi kuna mmoja alinifanyia zengwe nikamkomalia hadi kaomba msamaha
duuh ilikuwaje mkuu
 
Habarini wadau....leo mchana niliimgia azania bank tawi la dodoma...aisee kuna mdada mmoja yuko hapo mweupe mzuri hv mfupi hivi bank teller..mtoto wa ukweli sana...kama kuna mtu anamjua jamani...msaada wadau
Acha uzuzu mkuu, yani unashindwa kumpa simu yako aandike namba plus elfu kumi ya vocha. Unakuja kulia lia tu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na unapozitoa hizo hela hakikisha kuwa unaongeza noti ka 4 hivi kwenye kila fungu halafu ujifanye ka hujui kuzihesabu. Baadaye mwombe namba yake ili hata ukimtuma mtu kukuwekea umtume kwake straight. Hakika utapate hiyo namba yake tu
Km kashindwa hivi ,au kumpa hata laki ya pole ya kazi,na business card ,hakuna haja ya kumpa mbinu yoyote

101-03-821.M|T|C
 
Acha uzuzu mkuu, yani unashindwa kumpa simu yako aandike namba plus elfu kumi ya vocha. Unakuja kulia lia tu humu

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ktk ile slip angeandika hata namba, mm domo zege lkn chance km hz huwa nazitumia ,km kunipiga kibuti anipige yy ila mm ktk eneo langu nakua nishamaliza

101-03-821.M|T|C
 
D
duuh ilikuwaje mkuu
Nilienda na milioni mbili elfu kumi kumi tupu na nilizihesabu zaidi ya mara 3 zikawa fresh sikuzipanga kwa laki laki nikaweka pamoja nikafunga ruber band nikasokotea kwenye nylon nikaenda bank nikaandikisha acount namba yangu na majina nikaakaa kwenye folen mpaka ikafikia zam yangu nilipofika pake mapokezi nikampa karatasi na hela nikafungua ile nylon na zile ruber band nikampa akapokea akawa kama anazipigia pigia pale mezani kama anazishawazisha zilingane alafu akatulia akawa kama kuna kitu anashangaa nyuma yangu yani kama anaangalua wale nilowaacha kwenye foleni mimi si nikageuka kutizama ***** pale hakuchelewesha akadondosha hapo niti 3alafu ile hela akaweka kwenye mashine ya kuhesabu akaniambia bado hela mi nikamwambia kivipi akasema bado 30 huwezi amini nilimkalipia hadi akaja mama mmoja nadhani ni mkubwa wao nikamwelezea kumbe ule mchezo niliushtukia nikamwelezea yule mama niko tayari tuangalie camera yaani nilikomaa hadi akanywea..
Ni story ndefu mkuu siwezi imaliza saa hivi
 
Duuh iliisha kwa amani lkn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibia benki nyingi tellers wanawake ni warembo ila baadhi yao ni wezi hatari,yani ukipeleka pesa ukazubaa tu unaambiwa elfu kumi imepungua kaka inabidi ujazie .
 
Duuh iliisha kwa amani lkn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule mziki ulikuwa siobwa nchi hii maana nilimtaka meneja wa bank aje baada ya kujitambulisha walinywea maana kuna walinzi walikuwa wanajifanya eti wapo kazini wanataka kunitoa nikwambia hela sichukui na ndani sitoki bila kuonana na meneja na uhakika wa kumnasa yule bank tiler nilikuwa nao
 
Back
Top Bottom