Recent content by Di biagio

  1. D

    Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    waliogombea ni 2 tu,wengine uzushi..
  2. D

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kuacha ni wewe kuamua,mi ramadhani yote huwa sigusi na inawezekana so ukiamua utaweza.
  3. D

    M4C imekosewa mahesabu haitafanikiwa

    Ivumayo haidumu cdm kuna manyoka kibao wapo kazini milele i.e Mabere.
  4. D

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Nimeangalia mkutano wa leo jagwani kitendo cha m/kiti wa cdm kukanyaga kanyaga kadi za chama kingine si cha kiistarabu kinashusha hadhi yake kama m\kiti.
  5. D

    Hukumu kesi ya mnyika hii hapa

    Kweli Rushwa haiwezi kuisha Tanzania,kura 14850 jaji anasema ni Human Error,kosa ni kosa.
  6. D

    Kesi ya Mnyika hukumu ni Leo

    Mahakama itatengua ushindi wa Mnyika habari toka ndani.
  7. D

    Obama kama Karl Peters; Kikwete kama Mangungo wa Msovero

    Tanzania bwana,yaani viongozi wanafanya mambo ya ajabu ajabu kwa manufaa yao tupo tunalalamikia kando wenyewe muda wao ukiisha wana hela zao kwenye akaunti za nje.Je hivi tunafahamu wamekubaliana nini ndani ya hiyo mikataba?hivi tumefaidika nini baada ya kuruhusu wachimbe madini?hao jamaa...
  8. D

    CV ya Paul Mzindakaya

    Doma utashambuliwa sana humu jamvini,jamaa ana washkaji wengi humu nashangaa mbona Cv za wengine mnaponda hii mnatetea.Jamaa amesoma Forest sec. morogoro enzi hizo baba Rc wa moro badaye akaingia chuo cha diplomasia Kurasini kwa ajili ya diploma,baada ya hapo alienda UK sijui alisoma/alimaliza...
  9. D

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Stanley Kolimba-Uyui,Samson Kamote-Bukoba,Hawa Ng'humbi-Bukombe.
  10. D

    Wakuu wa Wilaya hawa hapa!

    Wa Dar ni:Sofia mjema(temeke),Ray mushi(ilala),Rugimbana(kndoni).
  11. D

    Wawakilishi wa tanzania katika b.b.a mwaka huu.

    Kushiriki wenyewe binafsi sawa ila wasitumie jina la Tanzania.
  12. D

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    Kubishania Cv ambayo imetoka kwenye tovuti ya bunge ni kupoteza muda kwani 75% zimekosewa,labda tu kama mna mengine ya kubishania.
  13. D

    Makamanda Polisi Mikoa Arusha na Mbeya wateremshwa vyeo

    Kamanda Paul Ntobi alishastafu mda mrefu hata kama mafao kashamaliza
  14. D

    AG: Ufafanuzi juu ya uteuzi wa wabunge na kupewa uwaziri

    Ikumbukwe kuwa Raisi aliteua wabunge 3 toka Zanziba i.e Mbarawa,Nahoza na Meghji vilevile Meghli alishawahi kuongoza wizara ambazo si za muungano hapo nyuma i.e Utalii na afya.Nadhani hata mtu wa Zenji anaruhusiwa wizara zingine.
Back
Top Bottom