Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shyrose na Ndege PRIVATE kutoka DOM kwenda DAR!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mchaka Mchaka, Jun 17, 2012.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Tatizo sisi Watanzania wengi wao hatuna kitu ndio maana tunashangaa hata vitu vidogo mbona kawaida tu kukodi Jet, wala sio bei kubwa.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wajinga ndio waliwaox2,kekundu kekunduuu!! Kekunduuuuuuu!
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hivi rate zikoje? Ni kweli hatuna kitu, na hii bajeti ya juzi ndio imetumaliza kabisa!
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Dodoma ni around US $ 3000 (tu, lol)
  Si ajabu kapewa ofa jamani, mtoto wa kike usimuonee donge
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kaka hawa watoto wa kike tusijifananishe nao huyu kaitwa Dar mara moja si unaona hana ata mizigo kuna watu wanadhamini mapambano!
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kweli ukiwa na open cheque inayolipa kila kitu kinawezekana!!!
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mshiko wa AELA ukijumlisha na Wa NMB hayo ndo matanuzi.
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,277
  Likes Received: 3,008
  Trophy Points: 280
  Sio ishu..ni ela ya kawaida tu kwa level yake
   
 10. D

  Di biagio Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni EALA.
   
 11. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hata mi ningekua nazo ningekodi ya kwangu mwenyewe
   
 12. nilkarish

  nilkarish Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angehadithia tu labda tusingeamini ndo kamua kujipiga na picha kabisaa.. akikua atachaa
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Ndio maana Jaffaray karudi mwenyewe,lakini jamani kama si ulimbukeni nini ndio mpaka ujifotoe na kutoa kwenye FB,masikini akipata ****** hulia mbwata,watu mbona hukodi ndege kila kukichwa na wengine wanamiliki ,sijui watu kama akina Rostam au Mkono nao wajifotoe
   
 14. regam

  regam JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sioni tatizo hapo.
  Wacha ajinafasi
   
 15. Nyundo Kavu

  Nyundo Kavu Senior Member

  #15
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wakubwa wanapumua hapo.............
   
 16. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,603
  Trophy Points: 280
  Ni mtu wa media na amekulia kwenye shida muachezi akizoea hataweka tena.
   
 17. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #17
  Jun 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Pesa inamuwasha sana! juzi alitaka alipe M5 ili plate number za gari yake zisomeke SHY-ROSE.
  Kazi kweli kweli!
   
 18. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  mbona mzee kabisa huyo wabongo bwana kama mwanaume utasikia anaitwa mzee mzee kafika mpe kiti.mwanamke ataiwa mtoto bdo mbich wakati kashafunga mzunguko wa mwez.alitakiwa kuwa na mtoto age yangu kabisa huyu mama.
   
 19. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kumbe gharama ni sawa na basi au Treni. Do you know definition of saving? Au unaanza kusevu zikifika mamilioni na wala sio mamoja? Mtabakia kusema wachagga bajeti kumbe hujijui kuwa wewe ndo limbukeni

  Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
   
 20. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ushasema Rostam na Mkono huyu mbona ni Shy hawafanani hata kwa jinsia achilia mbali umri wa kuzaliwa na miaka ya kuingia kwenye game ya kufisadi. Mbona JF mko wengi wenye mawazo finyu na chuki zisizo jenga

  Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
   
Loading...