Wawakilishi wa tanzania katika b.b.a mwaka huu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawakilishi wa tanzania katika b.b.a mwaka huu.

Discussion in 'Jamii Photos' started by kingfish, May 8, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hawa ni washiriki wa big brother africa kutoka tanzania.kwa nini wanakwenda kushiriki wakati serikali kupitia waziri nchimbi ilitamka kuwa haiungi mkono mashindano hayo?
   

  Attached Files:

 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni choice ya mtu,wameenda kujiwakilisha wenyewe na sio serikali...
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Binafsi sijaipata maana halisi ya mchezo huu,sijui nani kawapa hiyobendera kama waziri mwenye dhamana aliukataa nasi kwa kuiga tu hatujambo
   
 4. mpingauonevu

  mpingauonevu JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 618
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  ukitaka kujua hii nchi imejaza matahira, utakuta eti familia wanafuatilia ngono kupitia big brother!! mijitu myeusi bwana hata hainaga cha kufikia! nyie mnaletewa michezo inayo chochea ngono katika familia halafu mnaishabikia! kesho unakuta mama analia baba kamlamba bintiye - kumbe na yeye alihamasisha nyege kupitia bigbrother! Halafu hizi familia za kitanzania zinazojifanyaga zinaishi kizungu - yes yes this is the door, ndio waathirika wa bid brother! FUNGUKENI MACHO HIYO NI MKAKATI WA FREEMASONS!
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  tutegemee prostitution scandal kama kawaida.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Serikali inapangia watu safari za nje, kazi wanazofanya na vipindi vya TV wanavyoangalia?

  Mie siifagilii Big Brother, it is nonsensical. Lakini sifagilii zaidi ukomunisti huu wa serikali kupangia watu maisha yao.
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280

  kwa iyo hii bendera walioyoshika ni ya familia yao???
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kwa mtaji huu tutegemee siku moja Aunt Asuu akawakilishe duh sijui nchi au yeye nanduguze katika mashindano ya mashoga na bendera yetu kuuuubwa
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Kwani si ya familia yao?
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  hapo umeuliza swali badala ya kujibu swali.
   
 11. D

  Di biagio Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kushiriki wenyewe binafsi sawa ila wasitumie jina la Tanzania.
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Je hizo bendera walizoshika??
   
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wakiulizwa wametoka nchi gani wasemeje?
   
 14. JS

  JS JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kila mtu ana haki ya kuwa na bendera ya nchi yake
   
 15. tameer

  tameer JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 180
  Kwani bendera ni ya serikali?!bendera ni ya tanzania na watanzania..kwa hiyo na wanafunzi wanaosoma nje wakienda na bendera lazima wapitie serikalini kuhakikiwa?!
   
 16. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watanzania tunaishi maisha tofauti-tofauti, watu wamejitangaza kwenye status zao kuwa wanaishi hedonist life, waache wajiachie. Mbona kuna watu mnaenda hija, Mecca na Israel, na wengine wanaenda kuosha majina kwa TB Joshua watu hawasemi. Waache watu waoshe majina yao kwenye runinga ndio maisha yao hayo. Sidhani kama Dstv wanalazimisha kuangalia, kama vile mimi nisivyoangalia TV ya TB Joshua, au Mahubiri ya Kabobe, kama hakihusu you just skip.
   
 17. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  Yaani katika matatizo yooote ya hii nchi wewe umeliona hili? Acheni uzushi kama hauopendi badilisha channel!!
   
 18. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  By the way kuna washindano ya netball kule Taifa kama hii inakuboa kuna burudani nyingine kule, au nayo vipi?


  Taifa qeens.JPG
   
 19. Jagermaster

  Jagermaster JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 656
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  na hawa hapa vipi, mbona hamsemi, au kuwa wanalipa kodi ndio kila kitu wanachofanya kinakuwa halali kwa maadili ya kitanzania!!!???


  miss.jpg
   
 20. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Na stress zote za nchi hiii....rais mtoro na waziri mkuu asiye waziri mkuu..ubadhilifu...wapi ntapata pa kupunguzia stress wacha nijiangalizie Big brother....
   
Loading...