Jamani Halima Dendegu wa Kilosa Sijaona jina lake na yeye kapuswa nini?
Mkuu uwe makini na majina ya watu, anaitwa Betty Machangu. Inawezekana Mkuu wa Kaya kampunguzia kazi, maana nakumbuka aligombe Ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM.
Frank Uhaula aliyekuwa Kiteto sijamwona
Evance Ballama,Mbeya Mjini
Wakuu ivi Sabaya wa Songea nae naona kama katoswa!
Nepi Neuye- Masasi.
Alijiondoa kwa vipi? Mbona hatukuona kwenye vyombo vya habari? Au hizo mbichi sizitaki?
Francis Isaac - Bunda kapelekwa wapi au nae katoswa
Na huyu DC wa Ukerewe Queen Rose Mwashinga sijamsikia; kapigwa chini?
Sijamuona wa Sumbawanga mjini Kanali Antonio Mzurikwao ndiyo kapigwa makofi ya uso au amepangiwa kazi nyingine!!