Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

cjakataa kua ccm kina udini na ukabila nimesema uozo ulokuwepo ccm ndo ulokuwepo chadema halafu me nnashangaa kumkomalia jk kua serikali yake kuna ufisadi wakati mkapa pia kulifanyika ufisadi kibao rada,ndege ya rais vyote vilikua kipindi chake lakini kikwete mnaongea mpaka mishipa ya shingo inawatoka

Mkuu chitanda.nyoka unaitetea CCM au unamtetea mtu?
 
Last edited by a moderator:
Nasubiri katiba mpya. Naomba ifananefanane na ya Kenya. Ukifanya upuuzi tu unaburuzwa mahakamani. Juzi Rais ameteua wakuu wa majimbo jamaa wakasema amevunja katiba wametinga mahakamani kupata tafasri ya kisheria. Ukiteua ndugu/rafiki lazima bunge liidhinishe siyo mnakaa wewe sijui na mshauri mnateuana. Yaani checks and balances ni nyiingi ili kuzuia ukware na umimi.

usiombee hyo ije huku itakua aibu kwa cdm maana viti maalumu wameweka mademu wao.
 
Halafu wengi wao wanaotumwa na magamba kuandika ushuzi humu ndani ni wa mwaka huu wengi wao wamejiunga 2012 na wanaandika ushuzi tu ati watamkumbuka kikwete gamba,tatizo wakishapatiwa vijiela vya mkopo wa kujiunga na Udom basi kero kubwa mtatumiwa sana tu.lakini CHADEMA kinachukua nchi 2015 Magamba nyie wauaji wezi wakubwa hamna lolote
Mkuu sijakuelewa; mkopo wa kujiunga na UDOM au mkopo wa kujiunga na vyuo vya elimu ya juu? Nimeona kama ume single out UDOM kana kwamba unaowashutumu wanatoka UDoM pekee!
 
Hiki chama cha kidini na ukabila kikiingia madarakani nawahurumia sn ndugu zangu waislam maana tangu aingie kikwete hawajapgwa cku nyingi kwahyo wame mic sana kubondwa ndo maana wanashabikia hk chama wakumbuke enzi ya mkapa halafu wafikirie wakiingia hawa jamaa maana bora ya mkapa hawa jamaa udini na ukabira wameweka mbele.
 
Nimeangalia mkutano wa leo jagwani kitendo cha m/kiti wa cdm kukanyaga kanyaga kadi za chama kingine si cha kiistarabu kinashusha hadhi yake kama m\kiti.
 
Nimeangalia mkutano wa leo jagwani kitendo cha m/kiti wa cdm kukanyaga kanyaga kadi za chama kingine si cha kiistarabu kinashusha hadhi yake kama m\kiti.

kipindi hiki cha hii movement 4 chaga ccm wataingiza hela sn coz zile kadi cyo kama zinarudishwa na wanachama wa ccm hila zinaenda kuchukuliwa ccm wanalipia then wanajifanya watu wamerudisha kwa kweli mapato ya chama yamepanda sana kwa wiki hii kama mkitaka na tshirt zpo nunueni then mpande jukwaani mjifanye mnahamia cdm zimechapishwa nyingi muwadanganye vizuri wanachama wenu.
 
Watu wameshalia na kusaga meno hayo meno yatakayosagwa yatatoka wapi? labda useme magego. Eti wahuni kwa sababu ya kutembea na mke wa mtu na kumzalisha je, umefanya DNA hata ndani ya familia yako ukajua kama nawe ni mtoto halali? Nani anaweza kushuhudia aliyemsafi katika hili bila mawaa au doa katika maisha ya mtu mwingine? Ufisadi wote huu unaoibuliwa siku hadi siku ndiyo mambo ya kukumbukwa kwa uzuri wa ccm ya sasa? Twende na wakati tunazungumzia hali halisi siyo historia. Eti waliokwenda Jangwani hawana akili, hivi nani asiye na akili aliyeweza kujua utofauti wa hali ilivyokuwa na ilivyo sasa na ana kiu ya mabadiliko au asiyejua kwa kulewa vijisenti vya nduguye fisadi na kutukana waelewa. "kujielimisha ni kutafuta ukweli wa mambo, kwenda shule hutusaidia tu, japo hatuwezi kwenda shule, twaweza kujielimisha – Mwl.J.k.Nyerere".
Zinduka hiyo shibe uliyonayo ya kushindwa kujitambua kuwa hata hapo ulipo hukustahili kuwepo isikupumbaze. Ukweli utabaki pale pale uozo ni uozo tu na la kuvunda halina ubani. Hoja ya udini na ukabila ni kipimo cha juu kabisa cha ujinga kwani kila mahali unaweza kuileta hiyo hoja ndani ya taasisi yoyote kwani huwezi kuchaguliwa bila kushiriki, tukianza kufikiria hivi tutakuja weka hata wendawazimu kisa tu tunataka uwiano wa makabila, dini mwisho tutaanza na uwiano wa jinsia, uchumi, ukubwa wa maeneo kikanda, wingi wa watu katika eneo n.k Baadaye tutakuja katika ukatoliki na uprotestanti, ushia/uansar sunna na uhamadia n.k, n.k bila kikomo. Tunahitaji kuwa na mafikirio ya kina katika kila tusemayo na si kusema na kufikiria tusemayo baada ya kuyasema.
 
.....Kwanza mlisema CDM ni chama cha Wakristo na Wachaga lakini Watanzania tukawapuuza tu na CDM ikaendelea kuchanja mbuga sasa mmekuja na propaganda nyingine isiyo na mshiko kama ile ya kwanza eti CDM chama cha wahuni!!!! hahahahah lol! Kweli mfa maji hakosi kutapatapa.

Ni mie BAK, mhuni mwingine wa CDM :)

Pipoz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Alutta continua! continua!

5SNd69gP+bL3dR8Tb8Yi9F5KlrEhxzWmlk1QgPVho64nN1qRhMWjrkaK6K45XNnWlV10Ym2u+oalGepBh9aRVFub1ZAUBRsdScvjndpendeWXBMlVYhmpRjJVh0aoc8hZRHkVaDWXViSHGRAg8Ar7evnGigAZO0tLi3mb6MYr7Gb7m3C6O0tsTNEma8o80UgmGQ24V2ztEsdaAAA7

Chadema chama cha wahuni.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Acha kuwaaminisha watu kwa siasa za kufikirika na woga hujalazimishwa na dini yoyote wala kabila lolote kuipenda chadema au kuichukia ccm.YAMKINI WEWE NI GAMBA.
 
Chitanda. nyoka, ukweli wa chitanda nyoka, ametumwa? Au amelipwa bei gani? Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo. Sisi tutawasaidia kuichagua CDM ili mpate freedom ya kweli.
 
Nyie wana magamba ccm ambao mmetumwa humu subirin 2015 mtaona lazima tuangushe magamba tutachagua chadema kwan ccm hamna jipya mafisadi
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1
na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

nilikuwa naangalia tv.........mkutano........
kwanza utambulisho wa viongozi wengi.....wa chama wanatoka maeneo haya na maeneo wanayotoka

mwenyekiti___moshi
katibu mkuu____arusha
katibu mwenezi____moshi
muhasibu wa chama___moshi
mweka hazina____moshi
kitengo cha ulinzi____bukoba

1.mwenyekiti wa chama
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Well said mkuu.. .
 
Wewe si kweli unaichukia CCM kwa kauli yako uliyoitoa maana umesema hujaona chama cha kushika dola na kutaja mapungufu ya CDM wakati vyama vipo vingi, hii unaonyesha una chuki binafsi.
 
cjakataa kua ccm kina udini na ukabila nimesema uozo ulokuwepo ccm ndo ulokuwepo chadema halafu me nnashangaa kumkomalia jk kua serikali yake kuna ufisadi wakati mkapa pia kulifanyika ufisadi kibao rada,ndege ya rais vyote vilikua kipindi chake lakini kikwete mnaongea mpaka mishipa ya shingo inawatoka

Nilikuwa sijakuelewa, kumbe unataka kumtetea JK sababu ya dini yake? Kweli uislam ni mtihani
 
Aliyeleta hii post ana matatizo na utumwa wa fikra au anatumika na ndiyo shida yetu watanzania, hivi kama una timu ya mpira unawachezaji 28 wameanza 11 ikawa umeisha fungwa kwa nini usiingize mchezaji mwingine ukamtoa yule ambaye amepwaya badala ya kusema hata nikimtoa yule aliyepwaya nimeishafungwa. Ni bora ukajaribu mwingine uone anaweza kuleta nini, sasa wewe unasema hata CDM ikiingia tutalia kwa hiyo tuache tuendelee na uifsadi na usultani wa CCM. Hebu angalia CCM wote wenye mamlaka ni watoto wa wakubwa Riz1, Nape, Malima, Kawawa,Mwinyi,karume, na wengine wengi sasa unasema CDM ukabila na udini je ni zaidi ya leo ya utawala wa usultani wa CCM. Kaa ufikiri na acha kutumika maana kuwa kibaraka ni hatari na ni dhambi kubwa ikiwa unajua na unapotosha ni HATARI tafakari.
 
Back
Top Bottom