Watoto wa vigogo waiteka UVCCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Msabaha lk, Oct 9, 2012.

 1. M

  Msabaha lk Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  HATARI!

  Angalia, watoto wa vigogo waliopita UVCCM Ngazi ya taifa.

  1. DICKSON MEMBE
  2. FREDY LOWASA
  3. RIDHIWANI KIKWETE
  4. ASHURA HUSSEIN MWINYI
  5. BEN SAMWEL SITTA
  6. DEBORA MWANDOSYA
  7. IRENE PINDA
  8. FELISTER NDUGAI
  9. CHRISTOPHER NDEJEMBI
  10. SHARIFA BILAL
  11. HAWA KIGODA
  12. JUDITH MUKAMA
  13. JALOME MSEKWA
  n.k

   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Duuuu hii kali ya mwaka kama BoT duu kwelii utawala wa kimla!!
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukitaka tuamini wewe sio zuzu onyesha na nafasi walizogombea
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Wamegombea nafasi gani?
   
 5. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  nape
  makamba
  kikwete
  bilali
  mwinyi
  mkama
  malecela
  mwandosya
  lowassa
  sitta
  pinda
  ndugai
  membe
  wassira
  kawawa

  kweli ccm ina wenyewe!vijana msio na majina ya ukoo hapo juu njooni chadema.
   
 6. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  hicho ni chama cha ukoo,hata bagamoyo kuna mohamed kikwete! wototo wa vigogo wanakosa ubunifu wa jinsi ya kutoka kimaisha wanadhani kila kitu ni siasa.
   
 7. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  nepotism. but it will end soon.
   
 8. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Si wameshaona kupitia kwa wazazi wao kwamba, siasa ni sehemu rahisi ya mtu kutoka masikini na kuwa milionea kwa kipindi kifupi kwa njia za wizi pasipo kuhojiwa na mtu, na anayethubutu kuhoji unaweza kumpoteza kwenye ramani ya dunia kwa jinsi utakavyopenda.
   
 9. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  CCM ni zaidi ya chama cha kifamilia na hili ndilo linalopelekea chama kukosa mvuta siku zinavyozidi kwenda.

  Mungu ibariki Tanzania
   
 10. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wanaona ufisadi wanaofanya wazazi wao kuptia mgongo wa siasa,wanaona dhulma wanazofanya wazazi wao kwa wananchi walalahoi kwa kutumia madaraka yao vibaya kwa ufisadi na ubinfsi, wanaishi ndani ya dhulma,wamejaa harufu na matendo ya dhurma kwa hiyo wanakazana kuikumbatia njia ya kuwawezesha kula matunda ya dhulma kwani bila ya hivyo hawana usafi wa kuishi kizalendo,yana mwisho lakini!!!
   
 11. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tupe na nafasi zao UVCCM.
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Hii ni zaidi ya tawala za kifalume. Wakuu hata huko SAUDIA,JORDAN,QATAR,KWA MSWATI na kazalika hakuna kitu cha aina hiyo. Hii iko Tanzania pekee. NA KWA HIZI SHULE ZETU ZA KATA. WATATUTAWALA SANA
   
 13. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,520
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  MaJi hufuata mkondo
   
 14. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hicho chama kishakua chabibi tayari,na mfisad hawata kiacha watakinyonya damu mpaka kishindwe kunyanyua japo mguu.kishakufaga tumain jipya lipotikaka cdm tu wengine wanapewa viti maalumu nawengine walishafunga ndoa nawengine wanaisifia ccm kina tlp
   
 15. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  JAMANI WATOTO WA MASKINI MJUE HATUNA CHETU. NA HAWA HAWANA MSAADA KWA TAIFA ILI KWANI WAMEKULIA KT MFUMO WA KIFISADI. CDM PIA BABA YETU DR SLAA NDO WAOKOZI WETU. AMKENI SAA YA UKOMBOZI NI SASA WAJULISHE WOTE. HAWA WANAWAO VIBONDE NDO WANAANDALIWA KUTUTAWALA JAMANI CHONDECHONDE TUAMKE NA TUIKATAE CCM KWA VITENDO. NEVER VOTE 4THEm
   
 16. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawajaiteka CCM bali wanaanza kujifunza mbinu walizotumia wazazi wao kuiteka CCM hasa watanzania. Tanzania sasa ni nchi ya kifalme chini ya mfalme **** anayeruhusu familia yake yote kuwa chamani wakigombania vyeo vingine vya kipuuzi kwa hadhi zao mfano yule bi mkubwa. Hata Kenya mambo yalikuwa hivi lakini wakati ulipofika ulifika na KANU ikafurushwa. Chini ya ardhi hakuna kisichoisha. Huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa chama cha mafisadi. Acha wajazane kule ili siku tukianza kuwafungulia kesi tufunge familia nzima nzima. Ni bahati mbaya kuwa nchi au familia ikiongozwa na mtu mroho na kipofu inakuwa sawa na vipofu wawili kuongozana au wafu kukokotana.
   
 17. D

  Di biagio Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waliogombea ni 2 tu,wengine uzushi..
   
 18. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  ASANTE FATHER OF ALL. JAMANI TUAMASISHANE WATANZANIA MWAVITA MAKAMBA SI AJABU UKAMSIKIA ANAGOMBEA UMAKAMU WA RAIS. CHONDE TUZIAMBIE ROHO ZETU SASA BASI YATOSHA. UFALME TANZANIA No
   
 19. bhageshi

  bhageshi JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mfumo wa utawala na udhaifu wa kiuongozi ndio umesababisha yote hayo ya mbuzi kula sehemu aliyofungiwa tena kulingana na urefu wa kamba yake. tazama polisi, jwtz na magereza watoto wa maafande ndio wanaoajiliwa huko na kupewa kozi mara kwa mara ili kupanda vyeo haraka haraka. ngoja siku vikinuka kama wataweza kwani hawana wito wameingia kwa kuwa baba afisa fulani
   
 20. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Taifa linaelekea kubaya sana! Ee Mungu tunusuru na hili janga
   
Loading...