Recent content by dfreym

 1. dfreym

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  Habari. Nina mtu yuko chalinzi yeye ni wa msingi. Anaweza badilishana na wa kahama. Twaweza jaribu kwani wote ni walimu sidhani kama kuna kipingamizi sana kwenye taaluma moja.
 2. dfreym

  WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

  Idara elimu msingi . Njoo chalinze mimi nije kahama mjini. Kwa mawasiliano ni pm
 3. dfreym

  Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

  KAHAMA MJI (UBUNGE)not confirmed ila KISHIMBA (CCM)anaogoza, kamuacha mbali LEMBELI (CHADEMA).
 4. dfreym

  Ifikie wakati Nchi za Africa tujitoe kushiriki Kombe la dunia

  Mi Ningekuwa uwanjani ningemtwanga mangumi jamaa aliyejikata mtama akajiangusha.
 5. dfreym

  Msaada Miche ya vitunguu inakauka

  Solved wakuu. Asanteni kwa Msaada
 6. dfreym

  Msaada miche ya vitunguu inakauka

  Nimejaribu juzi jumamosi ndo nasubiri nione thanks to all
 7. dfreym

  Msaada miche ya vitunguu inakauka

  Asante vipi kuhusu interval ya umwagiliaji?
 8. dfreym

  Msaada miche ya vitunguu inakauka

  Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
 9. dfreym

  Msaada Miche ya vitunguu inakauka

  Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
 10. dfreym

  Biashara ya Ufugaji wa Kuku wa kienyeji na Masoko yake

  Kwa anayejua jinsi ya kuwafuga kuku wa kienyeji kwa style ya kisasa zaidi atueleze, lengo ni aina ya chakula (cha bei nafuu) na mchanganuo wake.
 11. dfreym

  Dagaa wa Chakula cha kuku

  Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
 12. dfreym

  Enzi hizo je wewe umesha wahi kupitia mchezo huu?

  Dah. Kweli dunia imebadilika. Siwaoni watoto wa siku hizi wakihanga ika na vitu kama hivi zao ni tv, game na ngumi.
 13. dfreym

  Wakala wa mbegu kahama

  Nataka nilime vitunguu. Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua ili upate mbegu halisi ni vyema ukanunua kwa wakala wa mbegu.sasa nitamjuaje kama huyu ni wakala halisi? Kwa anayemfahamu kwa kahama anisaidie kunielekeza ikiwemo na sehemu au mawasiliano, Nahitaji mbegu za red Bombay...
 14. dfreym

  Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

  Mkuu nataka na mimi nikimiliki. Ninunue wapi?
 15. dfreym

  Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

  Ni hadithi ya kusisimua tu. Mkuu.
Top