• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ifikie wakati Nchi za Africa tujitoe kushiriki Kombe la dunia

kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
9,713
Points
2,000
kibogo

kibogo

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
9,713 2,000
Nimeangalia michezo hii na hususani huu mchezo ulioisha hivi punde kati ya Greece na Ivory Cost na hiki kilichofanyika ambacho kimejionyesha wazi kwa kugawa Penalt kwa mtu kuchimba chini yeye mwenyewe pasipo kuguswa kimenihudhunisha sana na pia tulejee matukio ya nyuma
1. 1990 - Cameroon na Argentina waafrica tulinyanyaswa kwa yasiyovumilika kwani kadi 2 nyekundu zilitolewa kimagumashi huku unyanyasaji wa wazi ukifanyika kutoka kwa Referee
2. 2010 - South Africa - Ghana na Uruguai Suelez alidaka mpira ambao tayari ulikuwa gori lakini cha kushangaza Refa akatoa Penalt na kusababisha Gyan kukosa na kusababisha vifo kadhaa nchi mbalimbali ikiwemo na ghana yenyewe.
3. Pia mechi ya jana ya Brazil na Cameron tumeshuhudia gori la tatu likifungwa kwa ofside ya wazi kabisa.

Ni vema CAF wakajitafakari juu ya hiki kinachotokea na ili kutusaidia waafrica nafuu tungeacha kushiriki hayo mashindano yao tukajiendeshea wenyewe mashindano yetu.
 
B

Barasu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
1,151
Points
1,170
B

Barasu

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
1,151 1,170
Ile penati imeniuma sana hata kama ingelikuwa ni khalaal!
 
R

Ray2012

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
227
Points
195
R

Ray2012

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
227 195
ni uhuni kabisa aisee imeumiza kila mzalendo wa bara letu!
 
M

Mwera

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Messages
965
Points
0
M

Mwera

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2010
965 0
kwakweli ni uonevu wa dhahiri na ile sio penalt kabisa. na utakuta caf na viongozi wa soka africa watakaa kimya bora hata watoe malalamiko. huyo refa tokea mwanzo alikuwa anawabeba wagiriki. wanacheza faulo hatoi adhabu yoyote
 
M2 wa kitaa

M2 wa kitaa

Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
70
Points
0
M2 wa kitaa

M2 wa kitaa

Member
Joined Jun 2, 2014
70 0
Jaman hivi mchezo wa Ivory cost ulikuwa halali kweli! Mbona penati waliyopewa jamaa kama co halali au ndio ngozi kila siku niyakuonewatu? Mnasemaje wanajamvi juu ya hilo.
 
Msherwa

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
1,338
Points
2,000
Msherwa

Msherwa

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
1,338 2,000
Al penalt bin haram, al world cup bint haram, al haram bin haram bint haram, astaghafilulah!!!
 
dfreym

dfreym

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Messages
336
Points
195
dfreym

dfreym

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2010
336 195
Mi Ningekuwa uwanjani ningemtwanga mangumi jamaa aliyejikata mtama akajiangusha.
 
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Messages
14,749
Points
2,000
farkhina

farkhina

Platinum Member
Joined Mar 14, 2012
14,749 2,000
Nimesikitika kwa kweli....ila sikufuka huko kwenye ubaguzi wa rangi
 
Kobe_mzee

Kobe_mzee

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Messages
445
Points
225
Kobe_mzee

Kobe_mzee

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2011
445 225
siku moja mambo yatakaa sawa, you can fool some people for sometimes, but you cannot fool all the people all the time!!
 
R

rongai

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2014
Messages
462
Points
500
R

rongai

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2014
462 500
Na watatolewa wiki ijayo tuuu hawana mpira wa kupita
 
eburtm

eburtm

Member
Joined
Oct 19, 2011
Messages
98
Points
195
eburtm

eburtm

Member
Joined Oct 19, 2011
98 195
Dah mkuu it's too sad refs ameuwa mchezo kabisa that's was not fair at all. Anyway inauma but ndo hivyo tumuachie Mungu.
 
YAKUTA

YAKUTA

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
385
Points
225
YAKUTA

YAKUTA

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
385 225
dakika ya 90+2 refa anatoa penati kwa ugiriki na kuwadidimiza ivory coast na kuwaondoa kabisa katika michuano
kwa kher golden generation:
 
Blood Hurricane

Blood Hurricane

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Messages
1,160
Points
1,225
Blood Hurricane

Blood Hurricane

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2012
1,160 1,225
Siku yangu imeharibika.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
70,002
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
70,002 2,000
Nimeangalia michezo hii na hususani huu mchezo ulioisha hivi punde kati ya Greece na Ivory Cost na hiki kilichofanyika ambacho kimejionyesha wazi kwa kugawa Penalt kwa mtu kuchimba chini yeye mwenyewe pasipo kuguswa kimenihudhunisha sana na pia tulejee matukio ya nyuma
1. 1990 - Cameroon na Argentina waafrica tulinyanyaswa kwa yasiyovumilika kwani kadi 2 nyekundu zilitolewa kimagumashi huku unyanyasaji wa wazi ukifanyika kutoka kwa Referee
2. 2010 - South Africa - Ghana na Uruguai Suelez alidaka mpira ambao tayari ulikuwa gori lakini cha kushangaza Refa akatoa Penalt na kusababisha Gyan kukosa na kusababisha vifo kadhaa nchi mbalimbali ikiwemo na ghana yenyewe.
3. Pia mechi ya jana ya Brazil na Cameron tumeshuhudia gori la tatu likifungwa kwa ofside ya wazi kabisa.

Ni vema CAF wakajitafakari juu ya hiki kinachotokea na ili kutusaidia waafrica nafuu tungeacha kushiriki hayo mashindano yao tukajiendeshea wenyewe mashindano yetu.
Naomba kujuwa shule uliyosoma, nataka kweda kuonana na mwalimu wako.
 
Msherwa

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
1,338
Points
2,000
Msherwa

Msherwa

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
1,338 2,000
You Destroyed Ma day, All I can say is ....
 
Mc Tilly Chizenga

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
4,424
Points
2,000
Mc Tilly Chizenga

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
4,424 2,000
jamani nina uchungu tani 100 mpaka nimeona nilale tu chini kwenye sakafu kitanda kitavunjika
 
A

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
728
Points
225
A

alikhalef

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
728 225
Hao ndio wanajiita wana haki za binaadamu
Inaumaaaaaaaaa
 
M

maguzumasese2005

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2014
Messages
645
Points
0
M

maguzumasese2005

JF-Expert Member
Joined May 1, 2014
645 0
Mpira wenyewe kuangalia haram,itakuwaje penalt iwe halali
 

Forum statistics

Threads 1,403,192
Members 531,106
Posts 34,416,883
Top