Recent content by Deeklm

  1. Deeklm

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    Hahaha haaaaa, nimeipenda hii post ya huyu dada na imenifurahisa kwa sababu imeleta changamoto kwa vijana wengi maana nadhani waliokamilisha masharti yao ni wachache na pengine hawapo sina hakika. Naomba nitoe maoni yangu juu ya hili tangazo, anachokihitaji huyu dada nahisi ndo matakwa ya...
  2. Deeklm

    Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] wewe jamaa umeniacha mbuzii[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  3. Deeklm

    Ni aibu kwa mwanaume

    Nimependa ujumbe wako kwa sababu unatoa changamoto kwa vijana wanaokaa kwa mashemeji zao na especially wale ambao wanauwezo wa kwenda kupigana lakini wanaogopa, bila kuwa aggressive hivi walahi hawaondoki
  4. Deeklm

    Historia ya Kabila la Wahaya

    Kuhusu uvivu nakubaliana na wewe 100% aisee hawa watu wavivu jamani ukioa muhaya jipange, unakuta mtu hana kazi na hafanyi kazi.
  5. Deeklm

    Ushauri: Mpenzi wangu amebadilika

    Kwa level hiyo lazima aliwe sana, usimlaumu na endelea kuwa nae na usimfatilie sana utaumia, bado mko kwenye fulish age, mzee mwanamke mpaka afikie kuolewa anakuwa ametembea na wanaume minimum 3 inaweza kuwa zaidi ya hapo, kwaiyo piga moyo konde ilimradi anakupa huduma(papuchi). Ingekuwa ni mke...
  6. Deeklm

    Tiririka hapa sababu zinazofanya mwanaume/mwanamke achelewe kuoa au kuolewa

    Tutokupata mwenza wa uhakika (siku izi watu wanaoa na kuolewa ili wawaridhishe wazazi na marafiki zao kuliko wao wenyewe kwa hiyo ukiwa haujajiimarisha vizuri na pia hali ya kipato siyo stable unakuwa haumuamasishi mtu kukuoa au kuolewa (vijana wengi kutokana na kuwa na kipato kidogo anaona...
  7. Deeklm

    Wanawake wengi siku hizi hawajui au hawataki kuonesha mahaba

    Ni kweli kabisa mapenzi ya siku izi yamekuwa ni pesa na ngono tu, yale mapenzi ya mahaba yapo kwa wachache sana
  8. Deeklm

    Nataka kwenda kuchora Tatoo

    Bongo hamna artist wa tatu, kama unabisha kachore ndo utajuta kuchafua ngozi yako na hicho utakachokichora hautatamani hata kukiangalia. Kuna jamaa mmoja yuko kenya na pia hua anakuja bongo kwa appointment ni artist mzuri na pia gharama zake ziko juu lakini akikuchora tatoo utatamani kila mtu...
  9. Deeklm

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    naomba kufahamu vigezo vya kupata nafasi na kusoma course ya BBA kwa mtu aliyesoma certificate na diploma Post sent using JamiiForums mobile app
  10. Deeklm

    Nani kawashauri "Castle lite" kumleta Msaani Future kutoka USA

    Future ni msanii wa kimataifa, kama kunawasio mjua hao watakuwa hawafatilii mziki wa kimataifa, last time kwenye tuzo za mtv Africa future ndo msanii wa majuu aliyekuja kutumbuiza south Africa.
  11. Deeklm

    Msaada kuhusu utaratibu wa kujiunga na kozi ya BBA chuo cha UDBS kwa mhitimu wa diploma.

    Habarini wana jamvi. Mimi nimehitimu diploma na nataka kujiendeleza na degree ya BBA katika chuo kikuu cha UDSM na ningependa kwa wanaojua utaratibu wa kufanya application wanifahamishe ili nijue napoanzia hadi nitakapo malizia, nimesoma prospecter yao nimeona nina vigezo. Najua humu jamvini...
  12. Deeklm

    Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

    Eat healthy food vyakula ambavyo ni natural visivyo sindikwa, mboga za majani, na matunda kwa wingi, na pia kikubwa zaidi fanya mazoezi. Alafu pia fahamu kuwa hii hali sometimes inaweza kuwa ni psychological problem. Kwa hiyo pata ushauri kwa wataalam watakusaidia zaidi kisaikologia.
  13. Deeklm

    Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Kwa wenzetu siyo kama huku africa ndiyo maana hata viongozi wakiharibu wanakimbia huko
Back
Top Bottom