ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,885
- 42,002
Mwana kwetu vip ten usifurahishe nafsi yako ukasahau kumfurahisha Alosimamisha mbingu bila ya nguzo kama umeamua kumfurahisha huyo umpendae unaweza ukamfanyia chochote ambacho hatakisahau katk kumbukumbu zake tattoo ni haramu na ni dhambi pia ngoj niishie hapa.Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app

