Nina tatizo la kuwa na Uume legelege

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,431
12,292
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
 
Sasa mkeo unamfichaje jombaa ?

Kwani huwa hamshiriki tendo la ndoa au?
 
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Pole mkuu.
Ngoja wataalamu waje
 
Eat healthy food vyakula ambavyo ni natural visivyo sindikwa, mboga za majani, na matunda kwa wingi, na pia kikubwa zaidi fanya mazoezi.
Alafu pia fahamu kuwa hii hali sometimes inaweza kuwa ni psychological problem. Kwa hiyo pata ushauri kwa wataalam watakusaidia zaidi kisaikologia.
 
Pole sana mkuu. Ila kama mkeo ni mtu mwelewa usimfiche. Jaribu kumweleza tatizo mshirikiane kupata ufumbuzi, Itakua rahisi zaidi. (Japo najua kuna ugumu wake kuongelea hilo swala). Pia ni tatizo linalowapata watu wengi kwa sababu tofauti tofauti kama vile lishe duni na matumizi ya vileo, magonjwa kama kisukari na matatizo ya moyo, matumizi ya baadhi ya dawa, matatizo ya kisaikologia, kujichua na mengine mengi. Shirikiana na mkeo (kama utaona inafaa) kupata usaidizi wa kitaalam kulingana na chanzo cha tatizo lako.
 
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Mkuu nicheki Pm nikuelekeze dawa after 24 hrs inaanza kufanya kazi
 
Pole sana!!!
Usimfiche wife... Ataanza kukufikiria vingine.

Nenda kapime afya kwanza!!! Kisukari na presha vina tabia ya kuathiri nguvu
Hapa nashindwa kuelewa mnaposema anamficha mkewe,.anamfichaje yani wakati wanashiriki tendo la ndoa ?

Kwani mkewe hahisi au haoni kabisa kama jamaa ana kitu lege lege au?

Embu nieleweshe kidogo wanafichanaje ?Maana hata wangekuwa wanafanya gizani bado angejua tu jamaa hapandi mtungi.
 
Habari zenu

Mimi ni kijana ambaye nimeowa lakini Kwa kipindi cha miezi miwili sasa nimepatwa na tatizo la uume wangu kuwa dhaifu yaani hausimami vizuri kama kipindi cha nyuma. Inafika Kipindi hata kufanya mapenzi nashindwa kabisa

Na kinachoniumiza zaidi ni kuwa na mke ndani na nimejitahidi kumficha tatizo nililonalo lakini sasa nimeshindwa

Naombeni ushauri.

Asanteni
Ni stress tu, Hilo sio tatizo nadhani kuna baadhi ya Mambo yako hayajaenda km unavyotaka , we sikilizia tu itajirekebisha yenyewe
 
Hapa nashindwa kuelewa mnaposema anamficha mkewe,.anamfichaje yani wakati wanashiriki tendo la ndoa ?

Kwani mkewe hahisi au haoni kabisa kama jamaa ana kitu lege lege au?

Embu nieleweshe kidogo wanafichanaje ?Maana hata wangekuwa wanafanya gizani bado angejua tu jamaa hapandi mtungi.
Ata sijui imekuaje!!! Mkuu si ndo kasema hivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom