Deeklm
Member
- Feb 20, 2017
- 18
- 19
Habarini wana jamvi. Mimi nimehitimu diploma na nataka kujiendeleza na degree ya BBA katika chuo kikuu cha UDSM na ningependa kwa wanaojua utaratibu wa kufanya application wanifahamishe ili nijue napoanzia hadi nitakapo malizia, nimesoma prospecter yao nimeona nina vigezo. Najua humu jamvini wapo watu wenye uelewa wa hii jambo, naombeni mnipe uratatibu nitakao pitia hadi kupa nafasi ya kusoma hii kozi.