Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Jose baada ya yanga kufungwa na simba na yeye akapotea mazima
Jose baada ya yanga kufungwa na simba na yeye akapotea mazima
Mdomo wangu umebaki waziMkuu, ebu fanya umpe nauli huyo kakayako arudi tu kijijini. Maana unapo lalamika humu hakuna msaada wenye utapata.... tehteehhh
Kazi ipoWanaume mwaka wenu huuu
Wangu ana part time job ila aliona kwa sista sio akaamua kwenda zake kupanga.. Na juzikati aliniomba 50 aongezee aliyonayo akanunue pikipiki. Seriously nilijibana nikamtoa tu injinia wetu make tuna kaka mwingine huyo bange tupu Yani hasaraaaaaaHuyo mdogo wako una uhakika huu ujumbe umemfikia?Acha hizo mpe mtaji ajishughulishe sio kuja kumsema jf
Who is he?
@kritika naona umejaribu kujilazimisha kuandika lugha ya bepari, na mwisho umechemka.oooh so umechukua position yake?![]()
Ndiomaana siwaoni nzi humu, itakua wame kimbilia humo kwenye mdomo.... tehteehhhMdomo wangu umebaki wazi
Tunao kaa kwa shemeji zetu, naona tumeandamwa sana mwakahuu wallah....Wanaume mwaka wenu huuu
Taratibu mahondaw ebu kwanza tuyaache ya kunyumbaWangu ana part time job ila aliona kwa sista sio akaamua kwenda zake kupanga.. Na juzikati aliniomba 50 aongezee aliyonayo akanunue pikipiki. Seriously nilijibana nikamtoa tu injinia wetu make tuna kaka mwingine huyo bange tupu Yani hasaraaaaaa
Cc Smart911
Daah..yani upo unaskilizia jins sista anavopewa mkuyange..bora urudi kijijini ukatulie kwanzaUnakomaa kibishi tu kama hauna msingi wala mwelekeo wowote. Make wengi tukishasomaga hatutaki kurudi vijijini kwa wazee wetu so tunakomaa town kwa madada na makaka zetu.
Cc Smart911
Bora huyo hajataka kusubiri ajira.Yupo dogo pale nyumbani kazi yake kudeka tu na hivi ni la mwisho....halijiongeziWangu ana part time job ila aliona kwa sista sio akaamua kwenda zake kupanga.. Na juzikati aliniomba 50 aongezee aliyonayo akanunue pikipiki. Seriously nilijibana nikamtoa tu injinia wetu make tuna kaka mwingine huyo bange tupu Yani hasaraaaaaa
Cc Smart911
Ndiomaana siwaoni nzi humu, itakua wame kimbilia humo kwenye mdomo.... tehteehhh
kweeeeendraaaa.Ntakuongelea kingreza kama cha Mahondaw na weweThe same to my bby,nlimuweka wazi kabisa kuwa This is SiiiimbaHahahahaha Pole yao wana yanga. Smart911 mwenyewe Ile siku nilimtesa kweli make tulibet nikashinda usiku nikamnyanyasa hatariiiiiii
walichokipata nadhani kila mtu anaelewa