Hahaha kkwa beyonce jamani nitatoroka popote nilipo nikaenjoy showinawezekana.....mimi hata sijui anaimbaje.......
hawana namba ya simu ya Beyonce au Alicia keys.................???......
Wewe itabidi tukuundie tume umeifanya jf kuwa genge lako kila post upo, umekuwa chenge?Umenena vyema mkuu...mi jamaa simuelewi hata
Hata ule wimbo alioshirikishwa na ace hoo- Bugatti hamuuujui,kush je,duu wanaume wa dar mnazingua aje chuga
Watz wachache sana wanashabikia mzik wa marekani kwasasa yan since 2009 kupanda juu,hii nikutokana na mziki wa africa hasa nigeria kukua kwa kasi...Mkuu muziki wa kisasa au wa vijana umekupita kushoto kama mimi. Tofauti yetu mimi na wewe ni kuwa mimi mara moja moja naangalia muziki wa kisasa. Future ndio anawika sasa hivi.
Future ... Big NO...tht dude he's not a rapper man... I cant take tht NiggaSipendi muziki wake but he's the real deal at the moment. Kama humjui inamaana wewe sio mlengwa inaonyesha umeshapitwa na wakati
Cheap thinking! Unajua analetwa kwa sababu gani kwani?Nimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.
Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.
Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.
Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.
Wewe humfahamu! Hujataka kumfahamu. Utashangaa sio hiyo. By the way naona umempigia promoNimeshindwa elewa kabisa Castle lite wamewaza nn kumleta msaani kama Future nchi Tz.
Sidhani kama Future ana Mashabiki wa kutosha na sina uhakika kama asilimia kubwa ya watu wanamfahamu.
Ukitaka kumleta Msanii Bongo kutoka Nchi ya USA ni vyema kuzingatia Umaarufu wa mtu Epecially kwa Wasani waliowika miaka ya 2000, pia zingatia wasanii wenye nyimbo zinazopendwa sana na Jinsia ya Kike hapa ndipo washabiki na walipa viingilio walipo ,plus wasanii ambao nyimbo nyingi zinaweza Kuchezeka: Mfano wasanii kama Rihana, Lily Wyne na Nick Minaj na Jamii kama hizo.
Ila hapa kwa Future duuh... sijui ..labda he's too cheap.
Yani akili zako bado, okay ngoja nikujibu .Cheap thinking! Unajua analetwa kwa sababu gani kwani?
Future hajui kitu yule bora wange mleta big Sean... by the way he is so cheap kumletaFuture ni msanii wa kimataifa, kama kunawasio mjua hao watakuwa hawafatilii mziki wa kimataifa, last time kwenye tuzo za mtv Africa future ndo msanii wa majuu aliyekuja kutumbuiza south Africa.
Ushauri mzuri sana huu jamaa anaonekana anaforce mambo asio kua na uelewa nayo eti future ni msanii cheap dahHehhh.,!! Kumbe wakolimije mpo wengi humu....
Hamumjui Future.
Lisilokuhusu achana nalo Mkuu. Si kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu.
Kuna baadhi ya vitu katika maisha ni bora kuviacha vipite..koz huusiki navyo.