Recent content by de Plato

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

    Huifahamu PHYSICS,kaa pembeni.WEWE ni HXY:
  2. D

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    WASOMI wa nchi hii ndiyo mnaiharibu nchi.Hammwambii uweli mfalme;mnafichaficha kutafuta sifa.Eti mpaka uanze na kusifia!!!!!
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa kwenye papai

    possibly ni mosaic.Ni ugonjwa utokanao na bacteria;siyo upungufu wa madini.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya kufundisha kwa hiari bila malipo

    pole sana mwalimu;mlikosea sana kumchagua huyo mchunga ng'ombe.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

    ACHA kuwadanganya.Mavazi ya heshima social sciences hayapo;wanafunzi wa natural&mathematical sciences wanaokaa hapo ndiyo wenye mavazi ya heshima;;;;;wengine ni Health na law(kidogo).
  6. D

    JamiiForums Tanzania Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

    MAN CITY akibaba EPL nahama TANZANIA,naenda kwa prof./jenerali JOSEPH KONYI.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    Baadhi ya shule ulizoweka ni za " PLASTIC".Zikiwemo BW.MKAPA,ngudu n.k
  8. D

    JamiiForums Tanzania Sirro: Jeshi linatambua Makosa ya kimtandao yanayofanywa na Mange Kimambi na linashughulikia

    Hii ni akili ndogo kuwahi kutokea duniani!wameshindwa kuwabaini WATU WASIOJULIKANA wallows humu TANZANIA, Watamkamata MANGE K , MAREKANI ?????!!!!!![emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
  9. D

    JamiiForums Tanzania Special Thread kwa wana JF wote waliosoma Benjamin William mkapa high school BWMHS

    Hiyo chule ni ya vilaza sana!!!!!!Sizani kama wahitimu wake wanaweza hata kujumulisha sehemu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

    Siyo JOIN instructions ni JOINING instructions! Why Tanzanians?!!!!!!.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nini kirefu na maana ya POLICE, POLISI na kazi ya POLICE na POLISI

    POLISI=Pombe Ogopa LIsu SIku zote.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Nimemiss kinywaji cha yeboyebo

    umenikumbusha sana.Pale Mwanza tulikuwa tunanunua kwa sh.70/80 hivi.Form 1 miaka hiyo.
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika 45 simu ya mpenzi wangu inatumika

    mtumie hata elf.20 kwenye cm yake,mara itapokelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

    ''A wiseman speaks because he has something to say,but a fool bevause he has to say something'' You are fool. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom