Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

Kama kuna ambaye ana joining instruction ya kabanga teachers college msaada tafadhali
 
Siyo JOIN instructions ni JOINING instructions! Why Tanzanians?!!!!!!.
 
Jamani kama pia kuna mtu anaweza kupata joining instruction form ya MPUGUSO Teacher's college naomba aniwekee hapa,(kijana wa jirani yangu amechaguliwa huko!!)
Ameomba nimsaidie kwani yeye hana accessibility na technology.
 
Naweza kukutumia kwa njia ya wattsup
 
Back
Top Bottom