Kupata D ya General Studies ni ngumu kuliko A ya physics

Mkuu kuna mtu namjua Alienda Advance Na PCM akapata S zote.Akaanza Upya Advance Na HKL akatoka form Six Na One ya 4.Sasa wewe niambie mtu mmoja tu aliyefeli HKL ,HGK,HGL advance akaenda kurudia PCM akafaulu,kama yupo hata mmoja tu unitajie.
Mara nyingi mtu anayesoma PCM kuna uwezekano mkubwa hata hiyo HKL akaimudu.Lakini aliyeenda HKL ni nadra sana akaweza kuimudu PCM.
Ndo hapo utajua vichwa vipo wapi
Kweli kabisa.
 
Watu hawajui tu mi nina demu wangu ametafuta credits three consecutive yrs akapata akaenda kusoma HKL advance ametoka na div 1 ya 8pts. Sasa uliza kama kuna watafuta credit wanaokwenda advance kusoma comb yoyote inayoanzia na P.
Thubutu waanzie wapi huo ni mziki mwingine.
 
Mtu anambie Eti Sayansi ni kuclaim tu aaah haiji akilini kabisa

Kama sayansi sio kulalili tumia tumia kiingereza chako kujibu biology uone kitakacho kukuta....Luna maneno ya kibiologia lazma utumie...phy ndo kabisa usiseme ,,,state Archimedes principle,ohms law,law flotations, paschal principle,Charles law,Boyle's law, tumia language yako kustate uone kitakacho kukuta...chemistry ndo pasua kichwa ni kumeza kama yalovyo,,organic chemistry, mole concept,,,,, huwezi jubu kwa lugha yako unavojua unaandila kikemia zaidii...tatizo ukweli unauma...wanaosoma hayo masomo wana high claiming power..sio kwa zile formular aisee....
 
Uwape credit kuwa vichwa vyao vipo vizuri.
Namkumbuka mwalimu mmoja alikuwa anafundisha hesabu alikuwa anasema Huna haja ya kuelewa hesabu we Kumbuka tu,na ukifanikiwa kukumbuka ina maana umeelewa. Namkumbuka Yule jamaa ukimuuliza swali kuwa I don't understand ......anakujibu short tu, "No need of Understanding,what you are supposed to do Just remember,and remembering means understanding"
Na akifundisha kabla hujamuuliza swali alikuwa anasisitiza ukafanye mazoezi mengi ya kutosha tena maswali mengi tu,then baada ya hapo ndio utajua umeelewa au lah.

Hiyo unayoita kuclaim hiyo ndio akili yenyewe.Kwanza Huko kwenye Physics sio kila swali ni kustate tu,kuna parts kibao Za calculations Na hizi zinahitaji concepts.
 
You claim then you understand... Kama huwezi ivo usije ukaungana na Hawa jamaa PCM,PCB,..
 
Kwanini basi watu hawakalili Form four ili wafaulu vizuri Maths Phys Na Chemistry.Kama ishu ni kukariri basi F Za Phys Na Maths o level zingekuwa chache maana huko wanasoma wote.
Wewe jamaa ni mjinga sana
 
Kama sayansi sio kulalili tumia tumia kiingereza chako kujibu biology uone kitakacho kukuta....Luna maneno ya kibiologia lazma utumie...phy ndo kabisa usiseme ,,,state Archimedes principle,ohms law,law flotations, paschal principle,Charles law,Boyle's law, tumia language yako kustate uone kitakacho kukuta...chemistry ndo pasua kichwa ni kumeza kama yalovyo,,organic chemistry, mole concept,,,,, huwezi jubu kwa lugha yako unavojua unaandila kikemia zaidii...tatizo ukweli unauma...wanaosoma hayo masomo wana high claiming power..sio kwa zile formular aisee....
Basi unayeweza tumia maneno mengine basi sema kishazi unaweza kusemaje ili usionekane kukariri
 
Watu wanafeli GS kwa kua wanalipuuzia na kitilia mkazo kwenye masomo ya kombi. Tena kufaulu gs ni rahis mno maana ukiamua unasoma topic nne vzr basi. Gs Ina sections 4, section A religion & philosophy na life skills hapo soma life skills maana ni topic fupi inayoeleweka, Sections B soma international relations, C democratic process na D science and technology.
 
GS hata usomeje kufaulu ni shida sana ,unaeza kuta mtihani ukaona mtihani rahisi na ukajiaminisha unapata A lakini tokeo likija una F
Watu wa zamani walifichiwa aibu kidogo tokeo lao walikuwa wanawekewa S siku hizi upendeleo huo hakuna
Huifahamu PHYSICS,kaa pembeni.WEWE ni HXY:
 
Mkuu kuna mtu namjua Alienda Advance Na PCM akapata S zote.Akaanza Upya Advance Na HKL akatoka form Six Na One ya 4.Sasa wewe niambie mtu mmoja tu aliyefeli HKL ,HGK,HGL advance akaenda kurudia PCM akafaulu,kama yupo hata mmoja tu unitajie.
Mara nyingi mtu anayesoma PCM kuna uwezekano mkubwa hata hiyo HKL akaimudu.Lakini aliyeenda HKL ni nadra sana akaweza kuimudu PCM.
Ndo hapo utajua vichwa vipo wapi
Comment ya kumalizia mwaka umenena vyema science na hesabu ni zaidi ya kukariri (acha biology) lazima uwe na uwezo wa kufikitia pia...
Ni sawa na watu wanaojua hesabu vizuri, ni nadra sana kukuta mtu yupo o level anapata mabanda ya hesabu halafu akawa anafeli masomo ya sanaa zaidi zaidi atapata makalai au kutoboa mabanda kabisa. (Speaking from experience)
 
Mkuu kuna mtu namjua Alienda Advance Na PCM akapata S zote.Akaanza Upya Advance Na HKL akatoka form Six Na One ya 4.Sasa wewe niambie mtu mmoja tu aliyefeli HKL ,HGK,HGL advance akaenda kurudia PCM akafaulu,kama yupo hata mmoja tu unitajie.
Mara nyingi mtu anayesoma PCM kuna uwezekano mkubwa hata hiyo HKL akaimudu.Lakini aliyeenda HKL ni nadra sana akaweza kuimudu PCM.
Ndo hapo utajua vichwa vipo wapi
Hii ni kweli asilimia mia na mbili hata mtu aliyepiga adv PCM alafu chuo akachukua biashara huwa wananyoosha ile sio poa au cozi za arts au computer ni full kula bata tu na mitihani ni kutusua na kupiga ma GPA ya 4.6 kuendelea mbele daaah PCM inapanua sana ubongo asee
 
GS hata usomeje kufaulu ni shida sana ,unaeza kuta mtihani ukaona mtihani rahisi na ukajiaminisha unapata A lakini tokeo likija una F
Watu wa zamani walifichiwa aibu kidogo tokeo lao walikuwa wanawekewa S siku hizi upendeleo huo hakuna
kwani wewe ulisoma comb gani?
 
Watz hawajui kingereza Mimi GS nilipata B hasa waliosoma science kichwani wanakuaga hamna kitu ni full kukalili hata sentensi ya kingereza hawezi kuongea Wala kuandika so hapo lazima Apate F ya Gs Kama sio S
 
Sikia mkuu TO anatoka PCM kwa sababu ayo masoma ni mahesabu tu ,na ukipata jibu ni hilo hilo na marks wanakupa kama ilivopangwa ....tofauti na masomo ya kujieleza ambapo kila mtu anamaelezo yake ,kumshawish msahihishaji akupe marks zote ni ngumu ...ndo maana kupata A ya math,phyz, ni rahis kuliko kiswahili,history,language....kiufupi math ,phyz,chem ,bios...ni masomo ya kukalili na kuhamishia kwenye mtihan ....ukiweza ivo utachora A za maana ...ila aya wengine ni maelezo
Ficha upumbavu wako aisee... hayo masomo ya arts hata ukiwa unalala tu kila siku lazima ufaulu. Haiwezekani mtu ana akili zake akasome hayo masomo. Karibu wote walioenda arts walifeli Maths form IV.
 
Mkuu kuna mtu namjua Alienda Advance Na PCM akapata S zote.Akaanza Upya Advance Na HKL akatoka form Six Na One ya 4.Sasa wewe niambie mtu mmoja tu aliyefeli HKL ,HGK,HGL advance akaenda kurudia PCM akafaulu,kama yupo hata mmoja tu unitajie.
Mara nyingi mtu anayesoma PCM kuna uwezekano mkubwa hata hiyo HKL akaimudu.Lakini aliyeenda HKL ni nadra sana akaweza kuimudu PCM.
Ndo hapo utajua vichwa vipo wapi
Anayeweza PCM akienda arts anakichafua balaa... ila kichwa cha arts kisithubutu kwenda PCM.
 
Back
Top Bottom