Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Ukongwe maana take nini?

Ifunda girls imeanzishwa mwaka 2005 na batch mbili au tatu zimeshika umwisho kitaifa.

Dah! Wametuvurugia sana shule chama letu. Wakati tunaondoka ndio walianzisha A level baadae ikaanzishwa shule ya wasichana kilipokua chuo cha ualimu.
.
.
.
Ifunda the glorous Technical School live long forever...with our motto, skill and efficiency!!! Usiombe huu wimbo unaimbwa Mazengo hall na haujapata nauli. Hiyo ilikua inaitwa KULAZWA!
 
Topmost ni kigonsera shule iliyosomesha viongozi wengi kuliko shule yoyote Tz baadhi yao ni Rais mstaafu mkapa, waziri mkuu kassim Majaliwa na kwa upande wa mawaziri ni wengi sana .
 
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
iko wapi? mtwara mjini,
iko wapi? mtwara mjini, mkoani mtwara, kanda yakusini,
Kauli?....................................................................................................... (mafundi mpo?)
Utakua wa Kiangu wewe
 
Back
Top Bottom