Recent content by DDT

  1. DDT

    Nafasi ya rangi ya ngozi kwenye mahusiano

    Kula zote kumi, nina kampingo kangu mahali, nikikikumbuka mtihani
  2. DDT

    Nyerere fit to be a saint - Museveni

    Ya Ngoswe aachiwe ngoswe mwenyewe!
  3. DDT

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Dr. Mwakyembe, tunakuombea afya njema pamoja na dereva wako
  4. DDT

    Maswali kwa JK

    Anyway kumuuliza ni sawa, ila ubongo wake wa kipanzi panzi unaweza kutoa jibu la kukera zaidi. Kimsingi JK hana majibu ya kuleta suluhu, ni chekacheka boy. Miaka 4ameulizwa maswali na amejibu na hakuna kilichobadilika saana. Nadhani kugoma kumuuliza maswali inaweza kuwa tiba ya majibu yake ya...
  5. DDT

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    Hawa watu wanaojiita CCM wana vichwa vya ajabu sana, wanafikiri Watanzania bado analogu! Haki ya Mtanzania wanaitoa eti ni zawadi
  6. DDT

    Risasi zarindima mtaa wa swahili

    Next Level Si unajua tena, breaking news lazima ziji break into pieces? Natania tu Ila Tanzania tukicheza mambo yatakuwa mabaya zaidi, majambazi yanajijenga upya kwa ari, kasi na nguvu mpya
  7. DDT

    Rostam kukutana na waandishi wa habari

    Hii biashara ya kukutana na waandishi inalipa sana...mwisho wa yote anayefaidi ni nani? Kempiski, waandishi na RA anajipatia burudisho la nafsi kuwa na yeye kidume ametoa mpya zaidi ya mwenzie one shilling aka Manji
  8. DDT

    Felician Barongo wa Mzumbe University

    Kapuchi unaweza kuwa na hoja, ila kumbuka wanafunzi wa sasa wanaongoza kwa kuhonga walimu pia. Na hii ni changamoto ya vyuo KARIBU vyote vya elimu yajuu. Pia mifumo ya vyuo iko wazi na makini katika ushahidi wa masuala ya taaluma. Hao wanafunzi wa KIKE na MRS kama unavyowabainisha wewe...
  9. DDT

    Kikwete yuko London

    Utatu Maswali ya msingi ameulizwa kwa miaka 3 na amebuni mtindo wa kukwepa kuyajibu. I think we must think ahead of him, yaani tumfanye nini huyu Muungwana? Kwa mfano ni lazima aambiwe wazi aache tabia ya kukwepa maswali kwani hiyo inaonesha udhaifu wake binafsi kama kiongozi na pia anaaibisha...
  10. DDT

    Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

    Mfunyukuzi Masoud anataka kujiajiri kwenye media baada ya kutoka/kufukuzwa kwenye media. Hana ujanja maana bila hivyo atasahaulika mapema
  11. DDT

    JK amteua Jaji Kiongozi mpya

    Mzee Mwanakjj Unaweza kupata CV yake ukaitundika hapa?
  12. DDT

    Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

    Ndo (UV)-CCM wameshtuka kumekucha? Uchaguzi Serikali za Mitaa 2009, ule wa kutoa panya-buku 2010!
  13. DDT

    Waziri apanda kizimbani: ...Kisa cha SANGAM SECURITAS!

    Mzee Hii filamu ni kali, nasubiri kesho
  14. DDT

    EPA na mambo yake

    Mkuu salute! Good observation
Back
Top Bottom