Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Feb 18, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Habari nilizozipata sasa hivi toka ndani ya CCM, zinasema kwamba Naibu katibu wa UV-CCM ndugu Francis Isaack, amesimamishwa kazi hiyo mara moja kwa tuhuma za ubadhirifu wa pesa, amesimamishwa kuanzia leo tarehe 18. 2. 09.

  Tutakuwa na habari zaidi as soon zitakapopatikana..!
   
  Last edited by a moderator: Feb 19, 2009
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana alikuwa anampiga vita Nnauye!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nadhani hii haitakuwa habari njema kwa wapinzani... Maana CCM wameanza kusafisha nyumba na tunategemea other parties kufanya the same

  :rolleyes:
   
 4. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kama huyu kasimamishwa ndio kwanza mchakato wa umoja huu kuvunjika umeanza rasmi, kwani wengine wataanza kuibuka na linaweza kuishia kule kule kwa Nnape , ambaye hata waliposema kuwa wamemfukuza uanachama lakini mpaka leo bado ni mjumbe wa NEC , kuwakilisha vijana .
   
 5. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tuone kama atawataja watafunaji wenzie au ndio mbuzi wa kafara tena huyo....
   
 6. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  kama amefanya hilo kosa tena na wenzie lazima matumbo joto wanajua watatajwa. Tusubiri habari zaidi kwa kina!
   
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,649
  Likes Received: 1,474
  Trophy Points: 280
  Wakulu heshima mbele, nadhani wataweka wazi ametafuna nini na akina nani manake ushirika wa wachawi haudumu,,

  vipi Mkuu FMES una nyeti zozote za Bwana mdogo Nape, I mean sas ahivi what is he up to mkuu manake naona kimya kingi sijamsikia tena au uchaguzi umeisha?
   
 8. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ...kweli mbuzi wa kafara, na lile sakata la majengo ya Umoja wa vijana ndio limechinjiwa baharini? Nape anafungua mabaraza ya vikao vya kahawa vya wazee wa CCM.. sijui kama kuna jipya tena huko..:confused:
   
 9. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #9
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - CCM taifa ilimuomba kwenda Mbeya kiuisaidia kwenye uchgauzi wake mdogo wa bunge, kwa hiyo alikuwa huko na ni mmoja wa waliosaidia kushinda kwetu huko, unajua kwa kawaida huwa ana kazi nzito sana ndani ya CCM taifa, na pia ni mjumbe wa NEC, kwa hiyo ana majukumu makubwa sana kitaifa kwa hiyo sio rahisi kumsikia sikia mitaani, lakini yupo Dar sasa hivi unaweza kumpata pale CCM Lumumba street.

  Ahsante Mkuu, ila kwa sasa nina wageni wengi sana hapa unajua jamaa aliyefiwa yaani mume wa Marehemu Sister Pendo na watoto wake ndio sasa hivi wamefika hapa kwa hiyo tutaendelea kuhabarishana zaidi yanayojiri huko UV-CCM, as soon as nikizipata zaidi.
   
  Last edited: Feb 21, 2009
 10. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sense of responsibility and accountability...however too late! CCM must work in all ways possible! other wise its downfall is innevitable
   
 11. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Apelekwe Kisutu haraka!!!!

  Ndo maana ya Utawala wa Sheria!
   
 12. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2009
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,653
  Likes Received: 2,459
  Trophy Points: 280
  Mkuu FMES,

  kwanini haya hayakufanyika kipindi kile cha tuhuma za Nnape dhidi ya kina Nchimbi, Lowassa et al?

  Najua utakuwa na nzito zaidi mkuu
   
 13. TreasureFred

  TreasureFred Member

  #13
  Feb 19, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokana na source ya uhakika ambayo nimeipata sasa hivi ni kwamba hajasimamishwa!
   
 14. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #14
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni mwanzo wa safari fupi mafisadi waliojiwekea
   
 15. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Sasa lipi ni lipi ???, kasimamishwa ama laa
   
 16. DDT

  DDT Member

  #16
  Feb 19, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo (UV)-CCM wameshtuka kumekucha? Uchaguzi Serikali za Mitaa 2009, ule wa kutoa panya-buku 2010!
   
 17. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  .......''Waache wafu wazikane wao kwa wao''......
   
 18. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #18
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Muda mfupi ujao nitakuwa na more dataz more on this, respect wakuu!
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Naona sasa ukweli wa mambo unaanza kuonekana.Ikumbukwe tu kwamba DHULUMA NA UBADHILIFU HAVITENDI HAKI YA MWENYEZI MUNGU.

  halla back field marshall
   
 20. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Tupo pamoja mkuu wangu nitarudi soon na more!
   
Loading...