Felician Barongo wa Mzumbe University | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Felician Barongo wa Mzumbe University

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kapuchi, Mar 17, 2009.

 1. k

  kapuchi Senior Member

  #1
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wana JF,

  Nimepata taarifa za kusikitisha kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu wa karibu sana ambao wanasoma masomo ya jioni pale chuo kikuu cha Mzumbe,D'salaam Campus,kwamba kuna mwalimu (lecturer) wao Dr Felician Barongo ambaye anafundisha masomo ya Human resource Management,anawasumbua sana kiasi cha kuleta kilio kwa mabinti wanaochukua masomo hayo katika chuo hicho.

  Mzee huyo nasikia hutumia silaha ya kutoa test darasani ambazo anajua kabisa kuna watu atawakamata, na mara nyingi wanaokamatwa ni mabinti,akisha wakamata,anawaita moja moja wale wote waliofanya vibaya wamuone ofisini. sasa wakisha kwenda moja moja kwa wakati wake anachagua wale anaowataka na kumwaga sera zake za mapenzi,ukikubali yanakuwa yameisha shule kwako inakuwa nzuri ,lakini ukikataa, unaanza kuchezeshwa kwata na kigwaride mpaka umpe kila anachokitaka.

  naomba wana JF huyu ndugu amulikwe na afuatililiwe,kwa maana juzi juzi tu amemliza sana Mrs moja wa watu akitaka ampe mapenzi,mama watu akakataa na sasa hali yake pale chuoni ni ngumu kwa jinsi jamaa anavyompelekesha.

  huu ni ufisadi mwingine,je kwa jinsi hii dada zetu wataangamia!!!!
   
 2. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...It sound like Majungu...Thibitisha!!! Kwani hao wanafunzi wa kike wana umri gani below 18yrs?? Mwl. anawezaje kutoa test huku akijua wanafunzi watafeli? Hao wanaofeli test iliwashinda tu hawasomi...kama wanatoa uroda ni kwamba wamekubaliana..ofcourse technics za kuimbisha mademu ziko nyingi na hutofautiana mtu na mtu!!!!
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii mbona imekaa kiutamu zaidi , namaanisha hapa kama sio mahala pake najiona kama vile nimekosea nimeingia ze utamu. Halahala mods nadhani kazi hii ndio ya kwenu haswa badala ya kukimbilia kufuta avatar someni hizi threads.
   
 4. Mchola

  Mchola Member

  #4
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kapuchi, Umeomba ushauri nami nakupa huo. Waambie hawa wanaoombwa rushwa wawasiliane na TAKUKURU ili huyu mkware awekewe mtego na kunaswa!! Wanaweza wakamwekea mdada kinasa sauti ili mwalimu anapomtongoza arekodiwe. Haitoshi tu kulalamika bali inabidi kuchukua hatua!!
   
 5. M

  Mkereme JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 251
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thanks for the post. Kunatakiwa Reforms kwenye elimu. Badala ya kukimbilia TAKUKURU ambao they have not perfomed well kwa sababu hata wenyewe ni wala Rushwa wakubwa. And the Anti -corruption has not perfomed anywhere in the world. Nakumbuka kule India waliunda three tiers na haikusaidia mpaka Waziri Mkuu marehemu Rajiv Gandhi alipokula rushwa kwenye Military contract from a Swedish Comapany wakaachana na the TAKUKURU approach. Sisi bado tunangangana nayo and to no avail kwani si mnakumbuka Jinsi Edward Hosea alivyokula pesa ya Richmond na kubadili ili report ya Richmond na bado anapeta! He has lost the mandate kupambana na rushwa.Napendekeza kwenye mitihani katika kila Idara kuwe na panel of examiners lets say three members so that it doesn't become a one man show! Those wakware like the Dr. Barongo under review can no longer decide who is to fail/pass. This problem ya watu kuomba pesa na hata ngono from weak students lipo for ages. Dawa yake ni kuunda panels and this has helped a lot of institutions in developed countries hatuna budi kuiga. Waanoshindwa let them go elsewhere hakuna swala la gender hapa hata wanaume wanakamatwa. Mimi niliwahi kunyanyaswa na Profesa/Dr. mmoja in my university days mpaka leo sijui alitaka nini kwa sababu hakusema. Ni kweli kuna watu wanoonewa. On top of that the higher learning institutions should also establish examinations appeal bodies in every faculty period!
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Niuzieni hiyo kesi uone huyo mzee ninavyompigisha kwata la kufa mtu, na kuwa fundisho kwa wale walimu wanaopenda ngono nzembe.

  Hao wanaolia wanapenda huyo mzee kama mimi nitakubaliana nae vizuri na kupanga wapi tukutane nitaalika wanaume wenye nguvu zao waje pale nitakapokuwa sasa kichapo atakachopata atamsimulia mama yake mzazi kama bado yu hai. Wanawake wanapenda kulalamika sana wakati siku hizi siyo zama za kupiga kelele ni vitendo tu. Lakini pia inawezekana na hao madada vichwa vyao ni vibovu havishiki FM.
   
 7. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kapuchi,
  Ebu lione hili. Darasa hilo lina wanawake tu hakuna wanaume? Je, kama wanaume wapo wanashindwa test ni wanawake? vipi wanaume wanaoshindwa test je, nao wanafukuzwa shule? Ninavyoona, hapa kuna mchanganyiko wa mambo mengi. Kwanza, kama test ni ya darasa zima (wanaume na wanawake) iweje, washindwe wanawake tu? nini kinawatokea wanaume walioshindwa au wao hawashindwi hiyo test? Kama wanaume wanashinda hiyo test basi Dr. Barongo yupo sahihi kuwawajibisha walioshindwa test yake na mambo ya kuombana uroda yasitumike kama 'defense mechanism? Nawashauri wale wanaoshindwa test ya jamaa wakati wengine wanaifaulu kwanza waongeze bidii wasome na waishinde. Dr. Barongo atawakosa hawezi kuwakamata, sasa kama hausomi na unasubiri ukibabwa useme umeombwa uroda basi hayo ni majungu.

  Niungane na Caroline Danzi, kwamba mida ya kulialia na kulalamam imepitwa na wakati. Simu zetu siu hizi zinarekodi sauti, mtegee simu atongoze then utakuwa na ushahidi. Au kubaliane naye nendeni guest house anayoipenda huku ukiwa umewasuka wakokota mikokoteni ili wawakute mle quest house ili badala ya kushughulikiwa wewe wamshughulikie huyo Dr. Barongo, atakoma hatarudia, Acha kulialia amka ujipiganie.
  Tulione hilo kutongozwa kwa hila kupo lakini visingizio vipungue pale wanawake wanaposhindwa test kwa uzembe then wanatuambia si unajua nilimnyima......
   
 8. A

  Audax JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapa ina wezekana kuna ukweli au uongo ndani yake, uongo ni kwamba kama wanafunzi ni mchanganyiko iweje wavulana wafaulu na wasichana wafeli? Hii inaonyesha jinsi gani dada zetu wanavyotaka urahisi wa maisha, lazima kama mwanafunzi usome kwa bidii na hii ni pamoja na kufaulu na cyo kusubiri make ups, lakini kama anfanya makusudi kuwafaklisha ili awaombe kufanya nao mapenzi, ni wajibu wao kukataa na kulikemea hili ikiwa ni pamoja na kumfikisha kwenye vyombo vya sheria na c kulalamika tu,inaonyesha ni jinsi gani walivyodhaifu.
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Fitina
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ujinga mtupu huo, Barongo hawezi shika mdada aliyefaulu na mwenye bidii....shida ni dada zetu wanapenda digrii za kwenye chupi!! Watoto hawajitumi kwenye masomo wakifeli oooohhh mwalimu anannitaka wizi mtupu huu.....we call it academic wanking!
   
 11. K

  Kutikavu Member

  #11
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Another rubbish post, hapa jamii forum hatupost upuuzi na majungu yasiyoweza kudhibitishwa. As far as I know part time programmes zetu nyingi zinajumuisha watu wengi ambao wanatoka makazini au kwenye shughuli nyingine ambazo zinawafanya wanafunzi wengi wakose muda wa kusoma na kujiandaa vizuri na hizo test (tatizo la kuset priorities). Kwa hiyo majority wapo after certificate rather than knowledge acquisition. Tafadhali sana, next time post vitu vya maana don't waste our time and space kwenye kisiwa cha fikra. Msome hatutaki vilaza hapa.
   
 12. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180

  Tatizo liko kwa dada zetu, wanapenda sana mteremko. Nakumbuka wakati niko pale UDSM kulikuwa na majungu ya aina hii mengi sana. Naamini kabisa kwa mwanafunzi wa chuo lazima atakuwa na umri zaidi ya miaka 18 kwa system yetu ya elimu ya hapa Tanzania. Nyie mabinti mnaosoma hapo Mzembe Dar Campus kazeni buti....
   
 13. AlMusoma

  AlMusoma Member

  #13
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Sijui kuna ukweli gani katika hili. Mtizamo wangu ni kwamba baada ya kuwepo waovu wanaopenda kufanya vitendo kama hivyo, inakuwa ni tabia pia ya wanafunzi wengine kusingizia tabia hizo hata pale ambapo wanakuwa hawajafaulu. Nimewahi kuona mifano ya namna hiyo yenye ukweli wa ailimia mia. Najua pia kuwa wapo watu wanao"felisha" wanafunzi kwa sababu mbali mbali japo ni jambo ambalo kwa kweli haliingii sana akilini. Katika haya mawili ni rahisi zaidi kulipiga vita hili la kufelishwa. Ukianza kwa kujua bayana kuwa ulifaulu na kaku"felisha" unayo haki ya kuomba karatasi zako zipitiwe upya na watahini wengine huru. Iwapo kweli ulifaulu itaonekana wazi. Maadam wapo waliofaulu ina maana mtihani unafanyika na unafanyika kwa level hiyo na kitu ambacho "mfelishaji" hawezi kufanya ni kukupa mtihani tofauti na wengine.
   
 14. k

  kapuchi Senior Member

  #14
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 167
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hii habari haina majungu nihabari ya kweli kabisa ndiko ka mchezo kake,wanaomtetea wamtetee lakini arobaini yake afahamu inakuja.

  ni nani alifahamu siku moja mafisadi wataumbuliwa hadharani?


  Dr afahamu yakuwa suala la mapenzi baina ya watu wa jinsia mbili ni hiari na wala sio lazima kama anavyotaka ieleweke.

  na nyie mnaotaka ushaidi hebu kama mnaweza tafuteni wanafunzi waliopo katika hiyo field hapo mzumbe na hasa madada na ma Mrs watawapa data kamili.

  Tunakilaani kitendohiki kwa nguvu zote kwa sababu ni nani ajuae mabinti au ndugu zake watapitia mikononi mwake?
   
 15. DDT

  DDT Member

  #15
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kapuchi
  unaweza kuwa na hoja, ila kumbuka wanafunzi wa sasa wanaongoza kwa kuhonga walimu pia. Na hii ni changamoto ya vyuo KARIBU vyote vya elimu yajuu.
  Pia mifumo ya vyuo iko wazi na makini katika ushahidi wa masuala ya taaluma. Hao wanafunzi wa KIKE na MRS kama unavyowabainisha wewe, kwanini wasirekodi ushahidi wa mazungumzo halafu wakatoa ushahidi kwenye senate kama WATASHIKWA badala ya kupiga kelele zinazokosa ushahidi? Ni mawazo tu
   
 16. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  mkuu masanilo nakuunga miguu, hii ndiyo faida ya kutaka vitu vizuri pasi na kutoa jasho
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Oooh yeah! Tumesoma vyuo vya Bongo, wadada waliokuwa vichwa malecturer uchwara walikuwa wala hawawasumbui. Kuna lile kundi la wadada na Mrs walikuwa wanajilengesha sana kwa waalimu na hata kwetu sisi tuliokuwa fresh from school...all the tyme wadada walikuwa hawana bidii wanaomba kukopi assignment ndo kila kukichwa walikuwa wanakamatwa na mwishowe walikuwa wanaishiwa kuliwa uroda kama si tiGo, kwa hiyari yao ili wafaulu.
   
 18. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Haya mambo ni aibu tupu!

  Hawa jamaa hutafuta weak points!

  Kwa wadada vipanga mbona jamaa hawawasumbui?

  Two ways..pia akina dada saa ingine hujirahisisha ili kupata marks za bure!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,177
  Trophy Points: 280
  Siku hizi teknolojia za kumnasa mtu bazazi nyingi, kama ni kweli mtu anaweza kuingia na ki webcam/ any reliable recorder na kumnasa huyu mtu.

  Then kunakuwa na ushahidi madhubuti kuliko haya mambo ya "he say, she say"
   
 20. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kiranga,

  Wadada vilaza hawako smart hivyo!

  Umenielewa?
   
Loading...