Kikwete yuko London | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete yuko London

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nicky82, Mar 17, 2009.

 1. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habarileo, 17 Mar,2009

  Presidar wetu yuko London, kwa kile kinachoelezwa kuwa ni ziara maaalumu ya kuandaa ajenda kwa ajili ya mkutano wa G20. viongozi wetu kama kawaida hawachoki kuomba misaada, bada ya kutafuta njia za kuacha utegemezi!!

  Afrika pia inataka ipate mgawo stahiki wa fedha kwa ajili ya kuokoa taasisi zake za kifedha na kuchachua uchumi zinazotolewa na taasisi za kimataifa za fedha. Mazungumzo hayo yaliitishwa na Brown ili kusikia maoni ya Afrika kabla ya mkutano wa G20 huku kukiwa na taarifa kuwa IMF itaongeza maradufu kiwango cha fedha kwa ajili ya kukabiliana na matatizo ya kifedha duniani kutoka dola bilioni 250 za Marekani za sasa.

  Tanzania na mataifa mengine yanayoendelea, imeshuhudia mapato yake kutokana na mauzo ya nje yakishuka na bei za mazao ya kilimo zikishuka katika soko la dunia, kutokana na kudorora kwa uchumi katika mataifa makubwa. Fedha za kigeni halikadhalika zimepungua na idadi ya watalii nayo imeshuka.


  Hizi hela viongozi wetu wanazotaka wapewe ni za msaada, mkopo au deni wanalodai?? miaka nenda rudi hizi hela walikuwa wanapewa, lkn utegemezi haukomi!! hivi hizo hela za wao kutupa sisi wakati kwao kuna njaa nani atatoa??

  Viongozi wetu wa TZ wameshindwa kuelewa kuwa kilimo sio tumbaku na mkonge tuu, tungetumia mabonde na mito yetu vizuri tungevuna mchele wa kutosha na hata hali ya uchumi ingeshuka vipi bado tungeendelea kuuza nje ya nchi, tatzo creativity ipo???
   
  Last edited by a moderator: Mar 17, 2009
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, ama kweli! 'mwenye njaa hana miiko!'

   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  cheap, cheap, cheap shots... aibu aibu aibu! Hivi waafrika huwa hatuna sababu nyingine za kujitetea inapokuja suala la long term goals hasa kwenye investments?
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,609
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Kwanza ni lini mambo yalishakuwa mazuri kiuchumi kwa kutumia misaada na mauzo hayo ambayo sasa yanakosekana?na sasa waseme wanataka kuu okoa uchumi,hiki si kichekesho? Yani wao wakisikia wenzao wanaimba hivi na wao wanaimba tu kama kasuku...Ni the same thing tu hata kwenye kuuparamia ubepari...Hawa watu wanaojiita viongozi wetu inabidi wakae chini waaanze kudesa upya maana naona sometimes si kwamba wanafanya makusudi,bali hawajui hata la kufanya....Kwa hiyo wao ni kuhamisha na kukariri tu...Wakiulizwa nini kimechangia umasikini hawajui,wakiulizwa mtafanya nini cha tofauti hawajui,wao wanaongea tu kama na wao ni mataifa makubwa ya kibepari.."Stimulus,stimulus" Mwalimu na yeye alikuwa akitoa baadhi ya vipande vya hotuba hususan za JFK na sisi kwasababu tulikuwa hatuna access na anything outside basi tunafurahi tu na kusubiri ni kipi nabii wetu mwalimu atasema,kasumba hiyo ambayo ilikuwa facilitated na siasa mbovu za chama cha mapinduzi ndiyo bado ipo na tatizo hawajui kuwa dunia imebadilika...Hivi hawajiulizi?
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2009
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Kikwete warned: "This is a very unprecedented problem. Africa is a victim. We are not responsible for its genesis but all of us are suffering.

  Kitu kikiwa hakijawahi kutokea kinaitwa unprecedented. Hakiwezi kuwa "very unprecedented." Aidha kimewahi kutokea au hakijawahi kutokea, unprecedented, period.

  Isitoshe, sio kweli kwamba recession ya magnitude hii haijawahi ikumba dunia. Kumewahi kuwa na depression.

  Na sasa ndio Rais kesha fungua dimba la vituko huko London.
   
 6. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Shkamoo mama.. unanimaliza mwanao hapa...lol lakini all in all its rather sad.
   
 7. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ahahaahha Uswahilini kuna vituko oops sorry African presidents wana vituko!!

  Mama kwa kweli polepole, yaani karibu nidondoke kwa kucheka kwi kwi ahaha
   
 8. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  JMushi Raisi wetu ailiulizwa na Isha Sesay wa CNN walivyokuwa hapo BOT na alishindwa kujibu swali kwamba atafanya nini cha tofauti katika hali hii ya kiuchumi. Mwenzake wa South Afr alijibu wanakaa mkao wa kuanza kuangalia masoko within Africa (Kitu ambacho najua wameanza zamani tuu) na kuanza kujiandaa na Infrastructure ambayo uchumi ukikua itakuwa ready. Kikwete alisema hakuna kipyaa tutafanya yaleyale.
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,609
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Mkuu Lusajo, Afrika kweli kichwa cha mwendawazimu. Unajuwa shida moja ni kwamba haya mataifa makubwa yameridhika na vibaraka wao na wanatuona sisi hamnazo.... kwanza sisi kuiga iga na wakati bado hatujajipanga na kurekebisha mifumo yetu mibovu ya sheria ili at least kuwe na uwajibikaji wa kweli,economic system yetu ni ya tofauti kabisa na kitu chochote hapa duniani, i mean system yetu.
  Kwanza wao wanasema kuwa wanataka ku stimulate uchumi wa dunia kwa kuongeza Govt spending,kwa wenzetu accountability na transparency ndiyo wanavipa kipaumbele,sisi serikali yetu ikishachota haina wawajibikaji kwasababu hata demokrasia yetu ni changa sana na kwahiyo maamuzi ya viongozi wetu si neccessarily true wishes zetu,kuna u dikteta na mambo mengine kede kede kama ufisadi nk.

  Nimeiweka habari hii hapa chini,lakini cha ajabu ni kwamba hatujifunzi na historia hata kidodgo kwasababu kwenye migogoro kama hii mara nyingi ndo huwa chumi za mataifa mbali mbali hu emerge depending na watakavyojipanga,certaeinly newer markets will be created and other innoveted economic activities...Lakini eti na sisi tunataka kusadia uchumi wa dunia kwa kuwalisha wenye njaa na kujaribu ku keep amani,yani mama wa Liberia kadai mapigano yata cost zaidi kama yakianza kwasababu ya kunyimwa pesa,na wakati ukweli ni kwamba pesa hizo hizo ambazo huwa wana zi missuse ndio uletea migogoro wakati mwingine ya kisiasa hence machafuko...Viongozi wetu wa Africa wanajuwa kabisa ni usanii kujidai wanatuongoza kwa manufaa yetu sisi waafrika kwasababu hata mipesa hiyo ambayo wamekuwa wakipewa since who know when,wanazifuja,na wenye kutoa pesa hawajali kwasababu wanachokipata kinalindwa na ma puppet wao wajinga....Na ndio maana wameshindwa kusema watafanya nini kipya.

  Bila mapinduzi ya kweli Afrika nuttin will really happen..Hata Odinga mwenyewe kauli yake ndiyo kwa mbaali ili make sense kwasababu tu alikuwa akiwatisha wazungu kuwa wahamiaji watazidi kumiminika huko Europe kama jitihada za job creation hazitapewa kipaumbele..At least alikuwa kwene positive side of the message,lakini still bado sielewi serikali yetu kuendelea kupewa pesa ambazo wanazi miss use itausaidia vipi uchumi wa dunia,ni sawa tu na keki ambayo mabwana zao wanaanza kuwa ahidi kuwa na wao wataila kiaina na so wote pamoja wanakubaliana sababu za kuila keki hiyo ili kuwapumbaza wanaowapumbaza all the time....Acha niishie hapa kwasasa lakini cheki makala hii hapo chini...

  Sana sana wanataka ku modify disbursement mechanism ili ziwafikie mapema,na sisi inatakiwa tuwe na mechanism za kuhakikisha transparency kwasababu serikali si ya watu binafsi.

  UPDATE 1-African leaders petition G20 for more funds
  By Adrian Croft and Carolyn Cohn

  LONDON, March 16 (Reuters) - African countries petitioned the G20 on Monday for an increase in funding and easier access to international financing to help them through the global financial crisis.

  More than 20 African leaders and ministers met British Prime Minister Gordon Brown to present a joint African position before the G20 summit of old and emerging economic powers that Brown will host on April 2. Brown will transmit their message to the G20, which will examine how to restart the stalled world economy and reform global financial institutions.

  "South Africa is the only African member of the G20, although Brown has invited umbrella groups the New Partnership for Africa's Development and the African Union Commission to the summit.

  Ethiopian Prime Minister Meles Zenawi said the critical issues African countries wanted addressed were additional funds and ease of access to those funds.
  Asked how much additional money African nations wanted, Meles said the figures 'being bandied around' ranged as high as $50 billion.  He said the World Bank and International Monetary Fund had millions of dollars that could be released to African countries now 'by simply modifying the disbursement mechanisms'.

  COST OF CRISIS

  Liberian President Ellen Johnson-Sirleaf said the cost of keeping reform going was much less than the cost of peacekeeping operations if the economic crisis led to a resumption of fighting in her country, racked by a civil war between 1989 and 2003 that killed 200,000 people.
  Leaders from Tanzania, Botswana and Kenya and finance ministers from Nigeria and Rwanda also attended.
  Brown said he hoped the result of the G20 summit would be that every continent, including Africa, 'has its fair share of support over the next few months and equally that every continent feels that it can play a part in drawing up the plan for recovery.'
  African ministers said the continent was being hard hit by the crisis and was seeing a reduction in overseas aid flows.

  'In the case of Africa, people are going to die. We are talking about lives, not just somebody who will have to drive a smaller car,' Egyptian Finance Minister Youssef Boutros-Ghali told Reuters.
  The risk was that overseas development aid would 'dry up or diminish,' South African Finance Minister Trevor Manuel told reporters. 'Some countries have indicated they are not capable of meeting these commitments,' he said.


  'It is not possible to stimulate the world economy while ignoring the millions of the poor in Africa, south Asia and other places,' the President of the African Development Bank, Donald Kaberuka, told BBC radio before the meeting.
   
 10. Modereta

  Modereta Senior Member

  #10
  Mar 17, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Do we have serious leaders, I wonder sometimes!!!!
   
 11. W

  WembeMkali JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2009
  Joined: Jun 16, 2007
  Messages: 282
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The answer is NO.! we don't!

  Haihitaji PhD kujua hilo! hebu kwanza tujiulize tena ni zipi priority zao???
   
 12. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu, yaani hilo ndio tatizo la viongozi wetu. Ukweli mpaka sasa hawana plan yoyote hata wakipewa hizo pesa kesho. Kibaya zaidi hawajui wanahitaji kiasi gani cha pesa kutatua hilo tatizo walilodandia juu kwa juu. Tanzania kuna viwanda vimefunga virago ''Cargrill'' lakini sijasikia tamko la JK sasa sijui anavyotaka kuwa part of stimulus package lengo lake ni kusaidia kitu gani?
   
 13. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That's why I say the man has nothing to say but just keeps on saying so we can hear his ignorant. Surely, the man has no plan with economic downturn and just wants money with no justifiable plan.
   
 14. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mama, hivyo ndivyo vituko vya msanii JK. Sitashangaa kusikia alikuwa akishangiliwa na waTZ london .....''Yes we can''... dispite of nonsense kwani najua ni walewale CCM london maana sijawahi ona public advert to meet JK in London for I could join.
   
 15. U

  Utatu JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 436
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Ni kweli, hivi atakutana na WaTanzania wa London? Ni lazima aulizwe maswali ya msingi.

  Kama kila anapokwenda majuu, watu waliokuwa huko wanamuandama na maswali nadhani mwishowe atakuwa anajificha, hata kupunguza safari zake za majuu, na kuanza kufanya vitu vya maana akiwa Tanzania.
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 17, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Oh yeah kweli kabisa aisee...hiyo stupid chant ya yes we can huenda washabiki wa Kikwete na wenyewe wakaiiga....sickening
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Si watu wa London, I can bet this....Jamaa atakutana na Watanzania wajumbe wa Tawi la CCM Hotelini alikofikia. Hakuna kipya watamwambia zidumu fikra zako sahihi za CCM kumpigia makofi kwisha...mzee ataomba privacy kwa yale mambo anayoyapenda na kurudi TZ.
   
 18. U

  Utatu JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2009
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 436
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Ile ilikuwa ni aibu tosha. Alijidhalilisha sana. Hivi imerushwa kwa kiswahili kwenye TV za bongo?

  JK alisema hana plani mpya, ataendelea kufanya Road Shows, na hotuba za kila mwezi kuwaeleza wananchi kinachoendela duniani. Hajui kwamba, yeye kama kiongozi mkuu ana kazi ya kutoa mikakati mipya, kulingana na hali halisi na kuisismamia kuhakikisha utekelezaji wake!
   
 19. DDT

  DDT Member

  #19
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utatu
  Maswali ya msingi ameulizwa kwa miaka 3 na amebuni mtindo wa kukwepa kuyajibu. I think we must think ahead of him, yaani tumfanye nini huyu Muungwana? Kwa mfano ni lazima aambiwe wazi aache tabia ya kukwepa maswali kwani hiyo inaonesha udhaifu wake binafsi kama kiongozi na pia anaaibisha taifa la Tanzania. Pili afikishiwe salamu kuwa, akikwepa maswali, akichagua wa kumuuliza hataweza kuchagua au kukwepa wapigakura
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,609
  Likes Received: 2,001
  Trophy Points: 280
  Shida ni kwamba misaada hiyo inatolewa na mataifa hayo makubwa kwa vigezo kwamba ili kustimulate uchumi tuongeze matumizi ya serikali....Mkapa aliambiwa uchumi chini ya leadership yake ulikuwa kwa kasi na hii ni kutokana na gharama za mafisadi wa serikalini kama vile kununuwa mshangingi,kuwasikiliza mabepari na kupindisha sheria na taratibu zinazolinda haki ya mwananchi wa kawaida nk...Lakini wakati wa kuomba pesa hizo wanalia njaa,eti wananchi wanakufa njaa,kumbe wapi ni wao wanajaza matumbo yao na kufuru za matumizi yasiyo ya msingi.
  Hivyo basi hakuna wa kuweza kutusaidia sisi wananchi,ni sisi wenyewe tutaweza kujisadia kwa kuhakikisha transparency na accountability,thats the bottomline,wao wakiipa pesa serikali wana assume wamba ina take care of people kwasababu the people themseleves have elected the so leaders,ni ngoma iko kwetu.
   
Loading...