Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
KABLA YA YOTE TUANGALIE HISTORIA YA HAWA JAMAAA WANAOTAKA KUPACHIKANA UTAKATIFU NA KUJIPA VYEO AMBAVYO BINADAMU HAWEZI KUJITABIRI KUWA YEYE NI MTAKATIFU ...WANA MAZAMBI KIBAO.
Mazee jaribu kuheshimu wanachoamini wengine provided hawali kwako wala hawajakuomba ushauri. Hata wakiamua kumfanya Nyerere mungu wao ilimradi hawavunji sheria za nchi ni ruksa mazee. Hawajaja kuazima jamvi kwako wala kuomba chumvi kwenye sherehe yao.
Ila kama vipi MODS wanaruhusu komentsi za dizaini hii basi iwekwe wazi ili na mimi niende kuzama kwenye shelfu langu ili tujadili hadithi za mtume na Koran yake ili kubalansi uwiano au sio?