Mi nakumbuka walimu saa ya matangazo ya kwenda nyumbani utasikia kesho nataka mje na fimbo, mbolea, maua, miiba, jembe, dumu la maji, majani sahani ya uji husisaau yani utafikiri ndicho kinachokupeleka shule, na enzi hizo ukifaulu darasa la saba yani mtaa mzima watajua, bt siku hizi hata ukienda...