Natafuta chuma chakavu

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
Wandugu naomba mnisaidie mawazo....natafuta metal scrappers hapa nchini kwa ajili ya serious export business...any kind kama vile mataruma ya reli,meli chakavu,magari au vifaa chakavu vya kijeshi nk...naomba yeyote mwenye idea ani pm......Biashara hii niliifanya miaka mingi iliyopita (about 10yrs)..kwa sasa sijui hali ikoje....commission iko kama kawaida........nawasilisha kwa nia njema
 
Nimesikia TRL wanauza assets za shirika wapate hela za mishahara, wasiliana nao wana mataluma chakavu kibao.
 
Your business can have some difficulties kwasasa kwani kuna watu walikuwa wanatumia vibaya vyuma chakavu kwa kuchukua ambavyo si chakavu either kwa kung'oa madaraja, vyuma vya reli nk
 
the business is illegal....therefore strictly prohibited in URT
minimum penalty is USD5,000,000 bcoz it is a great source of infrastructure destruction.
Whatch out.........
 
Ahsanteni wandugu kwa michango yenu.....at least nimepata pa kuanzia.
 
Kaulizie kule mbagara jeshini ,kunaweza kuwa kunamabomu yanayokaribia kulipuka ili wakuuzie
 
Nenda pia kwenye kiwanda cha magari ya kijeshi pale Nyumba Kibaha wana vyuma vingi tu! na hawana kazi navyo
 
Ahsanteni wandugu kwa michango yenu.....at least nimepata pa kuanzia.

Ni kweli. Anzia TRL,Mbagala na pia kuna meli zilizo zama kweny Maziwa na Baharini. ukiwasiliana na wahusika watafurahi sana angalau warudisha ghrama zao. Mwisho wasiliana na serekali ukuuzie mataruma ya reli zote pamoja na Injini na mabehewa yake ili ipate pesa za kuwalipa wafanyakazi
ambao hawjalipwa imeshindwa kulisimamia shirika.
 
Back
Top Bottom