Recent content by CPA

  1. CPA

    Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kuanzia $ 30k mpaka $36K inategemeana na namba za seat na features maana kuna 5 seats na 7 seats kibongo bongo kama mil 70 -mil 85. Tusubiri tu used kuanzia 2024
  2. CPA

    Sheli na wizi wao

    Report EWURA na TRA...
  3. CPA

    Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kwa maelezo yao wamechukua vitu ambavyo soko limeipenda kuhusu Nissan Xtrail na mitsubish wakaviunganisha pamoja. Kwenye hilo gari utakuta technolojia ya Nissan, Mitusubish na renault. Ngoja tulipe muda lituonyeshe yaliyomo yamo au chenga
  4. CPA

    Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Unajua ukiumwa na Nyoka hata jani likikugusa unashtuka. Kampuni ya Mitsubishi imekuwa na skenda kubwa mbili ambazo zilisababisha wateja wengi kukimbia na kusababisha kushuka kwa mauzo mpaka kufikia hatua ya kufunga baadhi ya Production plants zake za Marekani na Asia. 1/ Mitsubishi Electric...
  5. CPA

    Mitsubishi Outlander 2022, mnyama Mpya Sokoni

    Kati ya SUV kali aliyotoa Mitsubish hi hii mitsubishi outlander 2022 Mwaka 2016, Nissan-Renault Alliance walinunua share ya Mitsubishi kwa 34% wakiwa wamiliki wenye hisa kubwa kwenye Kampuni ya Mitsubishi. Nissan walinunua baada ya ile skendo kubwa ya fuel economy scandal, ambayo Kampuni ya...
  6. CPA

    Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Baadhi ya majimbo ya ukrain yanatarajia kupiga kura ya kujiunga na urussi na kujitoa ukraine. Sasa rasmi ukraini igawanyika nchi mbili kama korea. Majimboa haya nadhani ni yale ambayo hayavamiwa na Russia
  7. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Taarifa toka Ukraine...naona mashambulizi ya anga ya Urusi yamezidi..Rais Zelensky anaomba msaada wa ndege vita na tanks...hii imekusa siku moja baada ya mashambulizi ya yaliyofanya na Russia kwenye Air defence system za Ukraini. Hata hivyo slovania imepelekea S300 ukraine ili iweze kupambana na...
  8. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Ukraine reporter amepost hivi kwenye ukarasa wake twitter
  9. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Hii vita propaganda nyingi na watu wengi washekuwa brainwashed, na leo shehena za siraha zimepokelewa Ukraine. Kunawatu wanachochea hii vita isiishe. Sasa dunia imekuwa vipande 2 pro Russia na Pro Ukraine (NATO)
  10. CPA

    Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    ▫️Units of the Russian Armed Forces are fighting for the capture of Novomikhailovka. ▫️During the day's fighting, more than 30 servicemen of the Ukrainian Armed Forces of 54th Mechanised Brigade, 6 armoured vehicles and 2 field artillery mounts of 46th Separate Assault Battalion were...
  11. CPA

    Kwa hali hii Zelensky akubali yaishe, kuokoa nchi kuwa magofu. Ila Putin amepata fundisho

    Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi. Sasa Urussi...
  12. CPA

    Wanajeshi wa Ukraine wajisalimisha baada yakuishiwa chakula na silaha

    Commanding post ya Jeshi la ukraine mjini kyieve yenye wanajeshi wengi maafisa yajisalimisha kwa majeshi ya urusi. Wanajeshi hao 61, wamepatiwa huduma muhimu, kama chakula na matibabu toka kwa jeshi la urussi. Inasemekana wamejisalimisha baada ya kuishiwa chakula, risasi na siraha, hii ni moja...
Back
Top Bottom