Recent content by Covax

  1. C

    JamiiForums Tanzania I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

    Hujawahi kuishi na Wahindi ndo maana unawatamani, wale ni watumwa hawana amani ndani ya familia hawana personal/individual independence
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu watu kufuata utaratibu katika nchi zinazoendelea?

    Viongozi wetu hawako serious too compromising wanataka uchawa
  3. C

    JamiiForums Tanzania An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

    Ni mkuu wa wilaya kwasasa.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kukosa kazi kunafundisha mambo ambayo huwezi kujifunza ukiwa na pesa!

    MKuu kua na multipple sources of income sio solution nilishawahi kua na 5 source of income sector ila kuna miazi kadhaa zote ziligoma nikaanza kupanda daladala kwa kukosa 10k ya petrol ya gari, sio kwa siku moja mwezi mzima hera sioni, maisha ni mindset na kukubali matokeo dont force hali.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kukosa kazi kunafundisha mambo ambayo huwezi kujifunza ukiwa na pesa!

    Maisha ni jungle life style survive for the fittest, ukishindwa utakufa mapema, utaliwa au utakibilia kijijini, ambako ndo kuna many life failures, kweli mtu uko mjini msomi na mature enough unashindwaje kujiajili? au ni self ego ndo tatizo, eg nilisha wahi poteza vitu na nauli kutoka mkoa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kukosa kazi kunafundisha mambo ambayo huwezi kujifunza ukiwa na pesa!

    Uganjwa tulio nao ni kufikiria kupewa kazi za watu kuajiliwa hiyo ni sydrome kubwa inao tesa wa Tanzania wengi the so called graduates.......sijawahi kukosa kazi ila nilishawahi kikosa pesa kwa kipindi cha miazi mitatu, our mindset ndo tatizo.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

    Kwani wewe ndo mzazi wake acheni propaganda za uongo.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Most of my bussiness and domestic enemies walitokana na huruma wakuuwakopea pesa tangu 2017 sera yangu fedha ni no neglegence personal loans anymore nacho kusaidi ni kuku-recommend kupata mkopo benki au microfinance ila mimi sikupi hata 500k
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Ushauri wangu ni don't usidhubutu kama huwezi kumsaidia ya bure jifunze kusema Big No sina pesa.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Kwanini umkopea mtu pesa wewe ni micro finance au benki ? huo ni huruma wakijinga bora nikusaidie pesa ya bure kama msaada, sitaki kujitafutia maadui wa hiari.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Maisha Yamenifundisha Jambo Moja: Usisubiri Mtu Akuokoe

    Kuna kundi ambalo tunajiita self-made, hatuna God-father in life only trust your self,
  12. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Walid apewe stahiki zake zikiambatana na usumbufu

    Acheni kuchochea yasio wahusu kila taasisi ina taratibu zake na kanuni zao, shkh mkuu wa mkoa tuhuma kama hizo za uzinzi tu zinatosha kujiuzuru, ila kuna wapumbavu wanao msapati ile kushabikia na kudhalilisha uislamu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa muhadhiri wa UDOM, hakuwezi kuathiri autonomy za wakufunzi wetu?

    In America, when a pupil comes late to class, they are given bread to eat dry as a punishment 😂. We tried this in Africa... even the teachers started coming late🤣😂
  14. C

    JamiiForums Tanzania Roho Kuukuu: Watoto Wenye Busara za Wazee

    HIyo ni Imani ya dini ya Kihindu kule india reacarnation theory
  15. C

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine Appoints Nambeshe Acting NUP President

    Akirudi yule shetani mtoto wa Mseveni si alahidi kumuua, je ungekua wewe?
Back
Top Bottom