Recent content by Conrad84

  1. Conrad84

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio na watoto kuweni makini na mnayofanya mbele yao

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
  2. Conrad84

    JamiiForums Tanzania GPS tracking system kwa Bajaj

    Tunachaj Rental fee au installations fee, tukikuchaj rental device inakuwa mali yetu tunakufungia buree kabisa ila kila mwezi unalipia TZS 8,500/=, ila ulitaka kununua tunachaji 128,000/= na kufunga ni 50,000/=
  3. Conrad84

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sijawahi kufanikiwa kupata Msichana tangu nianze kutafuta!

    Ahah umeua mond!
  4. Conrad84

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini kutafuta mume kumeongezeka sana?

    Wanajamvi, Nmekuwa nkifatilia sana idadi ya KE wanao tafuta wenza ila kwa awamu hii ya JPM naona kasi imezidi. Labda mnisaidie.
  5. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Wanigeria wazuia ndege ya KLM isiruke ili mwenzao aliyefungwa minyororo atelemshwe

    Unezungumzia polisi wa Bongo ila uwajui hawa jamaa, nmeishi nao sana South Afrika hata uje na mabomu wako radhi wafee. Makabulu wenyewe wanakuwa wapolee sembuse hao FFU
  6. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Yajue Maajabu ya Kunywa glass ya Maji ya Uvuguvugu Asubuhi.

    mbona mi nkinywa yananiunguza ulimi
  7. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ulinzi (security guard)

    [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji1]
  8. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Twende Mikumi National Parks | 01/04/2017

    Private lodge
  9. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Twende Mikumi National Parks | 01/04/2017

    Karibu
  10. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Twende Mikumi National Parks | 01/04/2017

    Gharama ya ziada kwako ni lunch na diner tu
  11. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Twende Mikumi National Parks | 01/04/2017

    Habari, Twende Pamoja Mikumi National Parks (Kwenda 01/04/2017 na Kurudi 02/04/2017) kwa gharama ya Tshs. 80,000/= tu kwa Single na 140,000/= kwa couples. Gharama hii imejumuhisha gharama za kwenda na kurudi, Lodge & Breakfast, Entrance and Guide fee. Kwa kufanya Booking tupigie simu...
  12. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Masaki: Mzungu agonga mtu, polisi washindwa msaidia majeruhi kwa wakati, afariki akiwa hospitali

    Kusema hayo yoote haitoshi! Japo mnaweza msiamini lakini Humu wanapita watu wanao weza kufatilia ilo jambo kwa ukaribu na kujua kama una ukweli na kuwawajibisha. Mnapo ona tukio la namna hiyo basi chukueni hata vielelezo, kila askari ana namba tena ziko kwenye uniform wazi kabisa!mnapaswa...
  13. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Unachojua kuhusu Piki Piki ya Sanil

    Hbr wadau, Naamini wako wadau wenye abc za haya mambo hapa, Kuna pikipiki moja za kichina naona ndo zimeingia zinaitwa SANIL nmeipenda sana nilitamani kujua bei zake, pili gharama za spea, tatu kama spea zake zina ingiliana na hizi pikipiki zingine za kichina kama FEKON na SANLG.
  14. Conrad84

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa gharama za Kujenga Uzio wa Seng'enge

    Asante sana mkuu, ndio hiyo hiyo nahitaji. Nahitaji 2mm inatosha. Ila hakuna zaidi ya 15m kwani mkuu?
Back
Top Bottom