Wanigeria wazuia ndege ya KLM isiruke ili mwenzao aliyefungwa minyororo atelemshwe

Duuh, wangekuwa Polisi wa bongo hao naona mziki ungehamia kwa hao waliokuwa wanajaribu kumsaidia mwenzao.. But all in all nimependa jamaa walivyoonyesha ushirikiano kupinga udhalilishaji ule dhidi ya mwenzao..
Unezungumzia polisi wa Bongo ila uwajui hawa jamaa, nmeishi nao sana South Afrika hata uje na mabomu wako radhi wafee. Makabulu wenyewe wanakuwa wapolee sembuse hao FFU
 
Back
Top Bottom