Natafuta kazi ya ulinzi (security guard)

Living kereth

Member
Feb 7, 2017
69
55
Nina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano

Email: maikonlatonga@gmail.com
 
Mwanzo mkuu ulikuwa unalindia wapi miaka miwili iliyopita?
Ikiwa ulipitia JKT haina shida ila kama ulikuwa unalinda kwenye makampuni je kilichokutoa huko nini?
 
Mwanzo mkuu ulikuwa unalindia wapi miaka miwili iliyopita?
Ikiwa ulipitia JKT haina shida ila kama ulikuwa unalinda kwenye makampuni je kilichokutoa huko nini?
Mwanzo nilikuwa nafanya kazi Suma JKT (Tanzania national service Department) kama security guard ...but niliresign kutokana sababu ambazo zipo nje ya uwezo wangu

Thanks
 
Mbona ueleweki mtu mmoja post kibao... Mara stationary, sijui mlinzi

Kwingine miaka 30,mara huku 25 Mkuu Mbona ueleweki au dalali nini?
 
Nina uzoefu wa kazi ya ulinzi kwa miaka 2 Nina umri miaka 30 elimu yangu Form four ...Nina akili timamu na nina ijua kazi hizi kwa ufasaha nipo kinondoni dar es salaam Tanzania ..mawasiliano

Email: maikonlatonga@gmail.com

Nina umri wa miaka 25 Nina uzoefu na kazi hizi .jinsia yangu ni KE naishi Bunju dar es salaam

Acha kutuletea mambo ya kihuni bwana mdogo...
Mwanaume wewe.. Mwanamke wewe... 25 na 30 wewe....
Kinondoni wewe... Bunju wewe... Kila kitu wewe...
 
Duh! Kwa kweli hali ngumu sana mtaani... Yani vichwa vimevurugwa mpaka mtu anajisahau namna hii... Eeh nchi yangu tanzania tuendako hatupajui.!
 
ahaaa pole sana hii jf kun c i a wa bongo we jichanganye tu na ukija na id mpya tutajua na utahama mazima jf utakuwa unapita tu.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom